clearing & forwarding agents!

clearing & forwarding agents!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,433
Reaction score
38,402
Habari za asubuhi watu wa humu!

Naomba msaada wenu, kwa yeyote mwenye kujua kampuni zinazotoa huduma ya CLEARING kwa upande wa magari, kampuni ambazo zipo smart, hazina usumbufu, hamna nenda rudi, zinajali kazi, hazina longo longo wala uswahili, naomba anitajie nataka niwatumie kutolea vigari kutoka japan, ukiweza na contacts zao ikiwemo mitaa wanapopatikana!

Shukrani sana
 
Mtafute huyu jamaa anaitwa JACOB 0754_267097 AVALON BLD opposite na AZAM MARINE, POSTA, mwambie umepewa DR JUMA, cku tatu au nne meli ikifika anatoa gari. Hana longolongo, keshanitolea gar c chini ya 50
 
Back
Top Bottom