Clearing and Forwarding, FREE Consultancy!

Clearing and Forwarding, FREE Consultancy!

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,739
Reaction score
2,410
Unataka kuagiza, au umeagiza gari iliyotumika au mpya kutoka popote duniani? Tunafanya huduma ya kutoa magari, mitambo na mizigo ya aina zote bandarini.

Kama kuna kitu kinakutatiza katika moja ya maeneo niliyoyataja unaweza ku-coment hapa chini tukashauriana, au kama unahitaji ufafanuzi juu ya jambo linalohusu uagizaji magari, namna ya kupunguza gharama,

kuepuka kuingia gharama zisizo za lazima, au kama unataka tukusaidie kutafuta na kuagiza gari ndogo ya kutemblea, gari kubwa za mizigo, mitambo mbalimbali nk, comment hapa au tuma ujumbe pm.

Nitakuwa na-update uzi huu kwa kadri navyoona inafaa.
Karibuni.
 
Back
Top Bottom