Clearing and forwarding agencies wanted asap!apply

Clearing and forwarding agencies wanted asap!apply

WinnieJay

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
25
Reaction score
6
TUNA KAMPUNI YA KUTOA MIZIGO / CLEARING AND FORWARDING SERVICES. NA UUZAJI WA MAGARI STRAIGHT FROM THE UNITED KINGDOM.
TUNATAFUTA AGENCIES AMBAO TUTAINGIA NAO CONTRACT KWA AJILI YA KUFANYA NAO KAZI.UKILETA MTEJA UNALIPWA COMMISSION ACCORDING TO THE JOB BROUGHT IN. OFFISI ZETU ZIPO MAENEO YA NKRUMAH
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA EMAIL autouk2tz@gmail.com
ASANTENI
 
Mmh, na matapeli walivyojaa mjini siku hizi? Haikawii kuagiza gari ikabebeshwa dona.
Kila la heri
 
Kwahyo ucpoleta mteja hamna salary? Mteja akitapeli risk kwa nani?
 
mim nina uwezo wa kufanya kaz na kampun yenu.ninaumri miaka 21 elim form four. ahsanteni na polen sana na kaz na mungu awabariki
 
Kwahyo ucpoleta mteja hamna salary? Mteja akitapeli risk kwa nani?
In life in order for one to be successful,they need to take risks...bila ku risks utafanikiwa vipi?basi kaa hivyo hivyo
suburia a risk free job man..this is a new world not the same world,people live on commission based jobs..juajiriwa kujiajiri zote ni risk taking.
 
Back
Top Bottom