Clearing and forwading Tanzania ni hataree!

Clearing and forwading Tanzania ni hataree!

Hawa wajinga wamefanya nitumie posta bila kupenda kuna muda unapata vitu vyote , kuna muda unapata pungufu tunaenda hivyo hivyo tu.


Nakubaliana na wewe kwa hili la ubovu wa hizi Taasisi za Serikali kwenye hili.
Posta nao wamekuwa Sham these days, usipokuwa makini unaweza usipate hata hivyo vidogo kwenye mzigo na kupoteza mzigo mzima.
Kuna wakati they don't clear mzigo ukiwafikia, kwa sababu wanazojua wao.
So mtu aki track mzigo anaona kabisa uko Tanzania lakini kusikojulikana, and not cleared or ready for pick up, na usipofatilia physically after few days watumia fursa wanautaifisha.

Yaani sasa online tracking ilivyorahisisha kazi, unajua mzigo uko wapi na kama umefika au bado kwenda kuchukua na ku save time&money.
Lakini sisi na Ujuaji wetu bado tuko zile zama za Nenda Urudi, wasting time&money.
 
gharama za swisport hazi-base kwenye thamani ya mzigo, huangalia zaidi uzito na volume ya mzigo, unaweza kuingiza mzigo wa thamani ya $10 ukatozwa kiasi hicho hicho. Kiujumla laki moja ndo kiwango cha chini kabisa cha agency fee kinachotozwa. Na hapo TRA hawajakadiria kodi zao kama mzigo unastahili kutozwa ushuru.
Asante. Kama mdau wa hiyo industry hamna chama kinachoweza kupeleka malalamiko ya wateja wenu kwenye hizi taasisi. Haingii akilini kulipa 350k kwenye mzigo wa 250k uwe personal effect au biashara.
 
Ungekuwa na upeo ungenielewa.
Hata mtoto wa Darasa la pili anafahamu kulipa 600k au 350k kwenye mzigo wa 250k ni ujinga haitaji upeo ni common sense tu. Hata hao wanaotoa hizo invoices hawawezi kujiongeza na kupeleka mapendekezo kwa wakubwa wao. Dhamira ya kwenda shule nikuwapa watu uwezo kupambanua mambo siyo kuwa robots.
 
Utaambiwa documentation..... Wizi mtupu..
Au "Other Charges",
Unajiuliza ni zipi hizo wakati juu yake wameshaorodhesha kila kitu mpaka na za kutunga?
 
Hata mtoto wa Darasa la pili anafahamu kulipa 600k au 350k kwenye mzigo wa 250k ni ujinga haitaji upeo ni common sense tu. Hata hao wanaotoa hizo invoices hawawezi kujiongeza na kupeleka mapendekezo kwa wakubwa wao. Dhamira ya kwenda shule nikuwapa watu uwezo kupambanua mambo siyo kuwa robots.
Mkuu nimekuelewa,
Ila hii kitu iko hata kwenye importation ya magari. Always kodi + TBS + Wharfage (Port Charges) hua kubwa kuliko CIF Value. Waliotunga hizi sheria sijui waliwazaga nini.
 
Back
Top Bottom