Clearing and forwading Tanzania ni hataree!

Kama sio UPS hao sidhan manake wakala wake wa hapa Tanzania ni muhuni mpigaji namba moja
 
Hiyo kali. Waachie wavae wenyewe
 
Changamoto nyingine
Kumbe SWISSPORT (IMPORT department) wanafanya kazi standard working hrs tuuu
Jumamosi ni hadi saa saba na Jumapili hawapo??? hivyo mtu hawezi kuchukua mzigo wake jioni wala wikiendi (Jumamosi baada ya saa saba)
 
Swissport, DHL, FedEX, and last but not least, TRA and Customs are in the extortion business, and are rotten to the core.
 
Wasukuma toka mmekamata nchi mnajiona mko juu sana, yaani kila kitu ndege? Ungepakia kwa basi nani angekugusa na hizo miscellaneous?
 
Wapendwa
BEGI langu la nguo za kuvaa lilibaki zimbabwe; Begi la Kilo 13.5 ; Rafiki yangu akanitumia kama cargo likaja Dar (SWISS PORT OFFICE)
Leo nimetumiwa meseji nikachukue; kufika kule nika kutana na changamoto za hatari!!!!!
1. Pale swissport gate #6 kwenye cargo office ETI siruhusiwi kwenda kuchukua bag langu hadi nilipie wakala (Agent) shs laki mbili) ili aingie ndani kunitolea; Julmla ya Gharama nilizopewa ni hizi hapa chini (nime copy paste) - eti shs 600.000???

Nadaiwa shs LAKI SITA kwa nguo zangu niliacha zenya dhamani kama ya 250k?
Jamai hii hi halali???? au ndio sababu watu wanakimbilia kupitisha mizigo kwa jirani???
HADI SASA SIJALIPA KWANI NAONA HAINA UHALISIA

COST TO CLEARANCE THE GOODS

1. Handling charges (Swissport charges) 120,000.00

2. Customs charges 200,000.00

3. TBS (Tanzania bureau Standard) 50,000.00

4. Agent Fee 200,000.00

5. Miscelaneous 30,000.00

Total 600,000.00
Kimsingi, gharama hizi hazina uhalisia, hasa kwenye ushuru, tbs na agency fee. Mzigo huu ni personal effect (hapa itabidi uwasilishe passport yako TRA kama uthibitisho kwamba ulikua Zimbabwe siku za karibuni) kwa hiyo hua hautozwi kodi, vinginevyo utuambie nguo hizi ni mpya.
Pia kuhusu TBS ni shs. 30,000 kwa ajili physical inspection fee. na agency fee kwa mzigo wa kilo hizi 13.5kg bei ya soko haizidi shs. 100,000. Handling swissport charges kwa parcel ya 13.5kg kutozwa shs.120,000 kuna walakini, shipment yoyote chini ya 20kg hutozwa USD 20 plus VAT, sio vinginevyo.

Wasiliana nasi tuta-clear hii parcel kwa kiasi kisichozidi shs. 300,000.

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
 
Kka liache labda liwe na kitu zaid ya nguo..na pia kuwa na tabia ya udadis wa hiz service za kimataifa znavjmambo meng..na hivo tu kila kitu uliza kwanza bei hata kama inaufahamu nacho ili uwe na confirmation..pole mkuu
 
Wapendwa
BEGI langu la nguo za kuvaa lilibaki zimbabwe; Begi la Kilo 13.5 ; Rafiki yangu akanitumia kama cargo likaja Dar (SWISS PORT OFFICE)
Leo nimetumiwa meseji nikachukue; kufika kule nika kutana na changamoto za hatari!!!!!
1. Pale swissport gate #6 kwenye cargo office ETI siruhusiwi kwenda kuchukua bag langu hadi nilipie wakala (Agent) shs laki mbili) ili aingie ndani kunitolea; Julmla ya Gharama nilizopewa ni hizi hapa chini (nime copy paste) - eti shs 600.000???

Nadaiwa shs LAKI SITA kwa nguo zangu niliacha zenya dhamani kama ya 250k?
Jamai hii hi halali???? au ndio sababu watu wanakimbilia kupitisha mizigo kwa jirani???
HADI SASA SIJALIPA KWANI NAONA HAINA UHALISIA

COST TO CLEARANCE THE GOODS

1. Handling charges (Swissport charges) 120,000.00

2. Customs charges 200,000.00

3. TBS (Tanzania bureau Standard) 50,000.00

4. Agent Fee 200,000.00

5. Miscelaneous 30,000.00

Total 600,000.00
Huko ni Kuuza Ng'ombe kwa kesi ya kuku. Au umekamtwa na Baiskeli isiyo na Kengele sasa unaamua kuuza Baiskeli ili ukanunue hiyo Kengele. Lakin mkuu nawe umeyataka, hapo unafanya importation mkuu,
 
Kimsingi, gharama hizi hazina uhalisia, hasa kwenye ushuru, tbs na agency fee. Mzigo huu ni personal effect (hapa itabidi uwasilishe passport yako TRA kama uthibitisho kwamba ulikua Zimbabwe siku za karibuni) kwa hiyo hua hautozwi kodi, vinginevyo utuambie nguo hizi ni mpya.
Pia kuhusu TBS ni shs. 30,000 kwa ajili physical inspection fee. na agency fee kwa mzigo wa kilo hizi 13.5kg bei ya soko haizidi shs. 100,000. Handling swissport charges kwa parcel ya 13.5kg kutozwa shs.120,000 kuna walakini, shipment yoyote chini ya 20kg hutozwa USD 20 plus VAT, sio vinginevyo.

Wasiliana nasi tuta-clear hii parcel kwa kiasi kisichozidi shs. 300,000.

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
Fursa Fursani...!!
 
Kaka huyu ni mpare anaweza.
 
Wapendwa
BEGI langu la nguo za kuvaa lilibaki zimbabwe; Begi la Kilo 13.5 ; Rafiki yangu akanitumia kama cargo likaja Dar (SWISS PORT OFFICE)
Leo nimetumiwa meseji nikachukue; kufika kule nika kutana na changamoto za hatari!!!!!
1. Pale swissport gate #6 kwenye cargo office ETI siruhusiwi kwenda kuchukua bag langu hadi nilipie wakala (Agent) shs laki mbili) ili aingie ndani kunitolea; Julmla ya Gharama nilizopewa ni hizi hapa chini (nime copy paste) - eti shs 600.000???

Nadaiwa shs LAKI SITA kwa nguo zangu niliacha zenya dhamani kama ya 250k?
Jamai hii hi halali???? au ndio sababu watu wanakimbilia kupitisha mizigo kwa jirani???
HADI SASA SIJALIPA KWANI NAONA HAINA UHALISIA

COST TO CLEARANCE THE GOODS

1. Handling charges (Swissport charges) 120,000.00

2. Customs charges 200,000.00

3. TBS (Tanzania bureau Standard) 50,000.00

4. Agent Fee 200,000.00

5. Miscelaneous 30,000.00

Total 600,000.00
Kila siku hapa uwa napinga hizi taasisi za serikali zimekuwa nyingi na gharama za kuzitunza tunasukumiwa wananchi hapo 3/4 ya gharama ni upumbuvu mtupu. Umebambikiziwa fees kubwa na TBS, TRA, Swissport na Clearing agent bila sababu yoyote ya msingi. Hizi taasisi zinashindwa kutofautisha mzigo binafsi na biashara? halafu hawa wajinga wanaopendekeza hizi Sheria na bei wanadhani watakaa maofisini maisha yao yote ndo maana hawafikiri wafanyabiashara na wananchi wenzao wanawaza kuchukua mapato tu ambayo hayana uhalisia. F them.
 
Inawezekana wengi hamjawahi kuleta mizigo airport(swissport). Kosa la mleta mada ni kuleta(import) vitu visivyo na thamani. Angeleta nguo za $2000 process za kutoa na gharama ya agent ingekuwa hio hio ingeongezeka ushuru tu. Kazi ya kutoa shati mbili ni sawa na kazi ya kutoa shati mia tofauti ni ushuru tu.

Cha kujifunza hapa kama unakitu hakina thamani ni heri ukiache huko ulipo kuliko kukileta Tz.
Tangu lini ni kosa kuingizia bidhaa isiyo na dhamani kubwa? Kosa hapa ni Taasisi za serikali zinazohusika kwenye Customs kutokuwa wabunifu na kukosa upeo. Tangu lini mzigo wa mtu binafsi wenye dhamani ndogo utozwe kodi kama mzigo wa biashara? Vitu vya kipambavu kama hivi vinafanya biashara kuwa ngumu Tanzania.
 
Pole sana mkuu, ungetuma kwa basi tu ila ulitaka sifa pasipo kujua
 
Swissport, DHL, FedEX, and last but not least, TRA and Customs are in the extortion business, and are rotten to the core.
Hawa wajinga wamefanya nitumie posta bila kupenda kuna muda unapata vitu vyote , kuna muda unapata pungufu tunaenda hivyo hivyo tu.
 
Kimsingi, gharama hizi hazina uhalisia, hasa kwenye ushuru, tbs na agency fee. Mzigo huu ni personal effect (hapa itabidi uwasilishe passport yako TRA kama uthibitisho kwamba ulikua Zimbabwe siku za karibuni) kwa hiyo hua hautozwi kodi, vinginevyo utuambie nguo hizi ni mpya.
Pia kuhusu TBS ni shs. 30,000 kwa ajili physical inspection fee. na agency fee kwa mzigo wa kilo hizi 13.5kg bei ya soko haizidi shs. 100,000. Handling swissport charges kwa parcel ya 13.5kg kutozwa shs.120,000 kuna walakini, shipment yoyote chini ya 20kg hutozwa USD 20 plus VAT, sio vinginevyo.

Wasiliana nasi tuta-clear hii parcel kwa kiasi kisichozidi shs. 300,000.

S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
Nguo za 250,000 unataka kuzikomboa kwa 300,000 halafu mwenyewe unaona unatoa plan B ya maana. Bongo amazing.
 
gharama za swisport hazi-base kwenye thamani ya mzigo, huangalia zaidi uzito na volume ya mzigo, unaweza kuingiza mzigo wa thamani ya $10 ukatozwa kiasi hicho hicho. Kiujumla laki moja ndo kiwango cha chini kabisa cha agency fee kinachotozwa. Na hapo TRA hawajakadiria kodi zao kama mzigo unastahili kutozwa ushuru.
 
Tangu lini ni kosa kuingizia bidhaa isiyo na dhamani kubwa? Kosa hapa ni Taasisi za serikali zinazohusika kwenye Customs kutokuwa wabunifu na kukosa upeo. Tangu lini mzigo wa mtu binafsi wenye dhamani ndogo utozwe kodi kama mzigo wa biashara? Vitu vya kipambavu kama hivi vinafanya biashara kuwa ngumu Tanzania.
Ungekuwa na upeo ungenielewa.
 
Back
Top Bottom