Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

Hhahahahaha !! aendelee nazo zinaburudisha haswa anapangilia heading za kukera ndio maana nipo pamoja na Mwasibu nampa mi5 tena .

Kuna uzi walivyotua African sport alianza na "InnaLilllahi...." akatabiri Yanga ndio mwisho wake baadae meza ikapinduka bado Kuna za sajili alizosifia zikabuma zipo nyingi tu.
Hahahaaa. Kwa kweeeli.

Mitano tena kwa Kipenzi Changu. 🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom