Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

Cleansheets: Diarra ni "mchumba" tu kwa Spider Man

Crown FM wanaiba content zetu, leo wanajadili Saves za Spider na Issue ya Marefu ambazo tulijadili jana
 
Wewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. ,Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.
Lkn tunakubaliana Camara ana clean sheet nyingi au siyo,,,😁😁
 
Wewe mbona mnaficha na mechi walizocheza. Camara kacheza mechi 16 Clean Sheet 13 while Diarra kacheza mechi 10 Clean Sheet 8. Kama hujui hesabu sema na mwasibu atakuambia nini nachomaanisha.
Mimi inanihusu nini? Kwani mimi ndiye niliyemkataza asicheze?
 
A'aleykum! Natumai 2026 imeanza vyema kwako ndugu yangu.
Wa'alaykum salaam , Alhamdulillah ndugu mwaka umeanza vizuri mipango mingi ya Kihasibu namuomba Allaah isiishie Kihasibu ya kwenye makaratasi tu iende kwenye vitendo na ifanikiwe , aamiyn.

Sijui upande ndugu naona umepotea kidogo Jf
 
Hahahaaa. Mwasibu kama mwasibu.

Ifikie hatua nyuzi za kubet aachane nazo tu.

Cc. Kipenzi Changu. Koh koh.
Hhahahahaha !! aendelee nazo zinaburudisha haswa anapangilia heading za kukera ndio maana nipo pamoja na Mwasibu nampa mi5 tena .

Kuna uzi walivyotua African sport alianza na "InnaLilllahi...." akatabiri Yanga ndio mwisho wake baadae meza ikapinduka bado Kuna za sajili alizosifia zikabuma zipo nyingi tu.
 
Wa'alaykum salaam , Alhamdulillah ndugu mwaka umeanza vizuri mipango mingi ya Kihasibu namuomba Allaah isiishie Kihasibu ya kwenye makaratasi tu iende kwenye vitendo na ifanikiwe , aamiyn.

Sijui upande ndugu naona umepotea kidogo Jf
Amiiin! Kwa uweza wake Allah itafanikiwa.

Mi kwangu namshukuru Allah umeanza salama pia. Nipo ndugu mambo tu yamekuwa mengi halafu kuja Jf huwa tu najionea shida hasa nikiwaza kutumia VPN.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom