middo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 207
- 56
Habar wadau, naomba kufaham hii app ya clean master inatumikaje na ni ya nn kwenye simu? Mara nyingi nkiwa natumia mtandao nakutana na ujumbe kama simu yangu inakata chaji haraka bas nidownload kama suluhsho ila nmependa ufanyaje wake wa kaz kabla cjadownload. Asante