Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo.

Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa kabisa mbadala wa Chama sokoni, au ni uvivu wa viongozi kufikiri na kufanya maamuzi mapya?
1767267807795.png
 
Hata yanga ifikilie kumrudisha Stephen Aziz KI ni muhimu mno.
 
Mkuu Simba inahitaji mawazo ya watu wapya
Ni kweli kabisa timu inakuwa kama genge la mtu flani anafanya anavyotaka yeye,washabiki hatuna raha na kinacho endelea, kwani bila huyo Chama hatuwezi kusonga mbele? mbona wachezaji wapo wengi sana? kwakweli naafiki kabisa yakuwa Simba inahitaji mawazo na uongozi mpya.
 
Back
Top Bottom