Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Mume wa mtu unawasiliana na class mates wa kikee ambao mliachana miaka kibao iliyopita... huyo kuna jambo analo.. Chukuaa sajili namba nyinge alafu save hiyo namba Class mate kama alivyosave yeye kwenye simu yake then mtxt kimahabaa uonee atajibu vip...
 
Back
Top Bottom