Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Jioni hii narejea home
nikaona nipitie mlimani city kumnunulia wife wine aipendayo ili nikitoka
namwacha na yeye akisuuza koo,nikiwa najiandaa kutoka baada ya
manunuzi nikijiandaa kutoka nikashikwa bega na mkona laini huku
ukilitaja jina langu,kugeuka nakutana na mdada tuliesoma nae ikizu sec
kawa mmama but still yuko beautiful,coz ni siku nyingi tuksjikuta
tumekumbatiana kwa furaha na akanichumu ilikua furaha ni siku nyingi
sana zaidi ya ten years,tukatafuta sehemu tukakaa na kupeana habari za
hapa na pale,coz time zilikua zimesonga tukabadilishana no and then
akanihug tukakubaliana tutafutane jpili tukaagana,nikarejea home
nijiandae kutoka,ile nafika home wife ananipokea nikashangaa sio kawaida
yake kuniangalia sana,nimezoea kukaribishwa na kupewa pole ya kazi na
kushukuru kwa nilichomletea,nikauchuna tukaongozana ndani ile kutua
mzigo tu maswali yakaanza eh mwenzangu hiyo rangi ya kike shavuni
imetoka wapi?eh na huo unywele kwenye shati lako vp?dah! nikaduwaa
nikajaribu kujitetea na kumwambia story nzima naona hanisomi kabisa ni
full kunyamaza na kutoa chozi yani hata hamu ya kutoka iimekata,ila
simlaumu yule dada najilaumu mwenyewe kwa kutojikakua baada ya kuachana
nae,weekend nimeianza mbaya.

pole ila wadada wenzangu punguzen hayo marangi ya lipstic paka lip shiner tu inatosha mbona mm napendezaga tu. sasa ona majanga maana sioni tatizo la kubusiana hapo tatizo ni marangi
 
Dah.....aiseeeeeeeeeeeeeee.......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hii hata kama itakuwa shigongo style ila in reality ikikutokea inachanganya wajijua kuwa ni innocent ila huyo bibie hapo home akuelewe! unawaza sijui jpili nimtafute tufanye kweli kupoza mate ya uchungu! usifanye hivyo mkuu ongeza wine nyingine umrejeshe wife penye Moody
 
Oh My God...!! Shigongo at work again..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
pole ila wadada wenzangu punguzen hayo marangi ya lipstic paka lip shiner tu inatosha mbona mm napendezaga tu. sasa ona majanga maana sioni tatizo la kukusiana hapo tatizo ni marangi

Ha ha wenzio uo ndo urembo ww ivho ni kama kilainisha lips tu.
 
Back
Top Bottom