Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Yani anywe wine peke yake huku jamaa anavinjari viwanja..afu ujue wine na nyege ni twins..! Wine mnakunywa pamoja ili mkishikwa na nyege mnamalizana bila kigugumizi..!

Kama analea nitatokaje nae out,pia kila mtu ana life style yake na handling ya wife au mme zinatofautiana,hatufanani hata kidogo,kuna wengine humu ni waongeaji wazuri sana na wanajifanya they know everything,but ukienda kwenyr reality yao utashangaa,mabati yangekua yanaongea wengine humu wangenyamaza kimya.
 
Yeah..hapo umesema "kila mtu na lifestyle yake". Lakini Hilo halitoshi kufanya watu wasiongee..!
 
Heheheehe.....wanaume bwana..haya hayo ya kumuelezeea mdada ulekutana nae kuwa kawa mama but bado mrembo inahusiana nini na story ya kukupaka lipstick ?
 
Heheheehe.....wanaume bwana..haya hayo ya kumuelezeea mdada ulekutana nae kuwa kawa mama but bado mrembo inahusiana nini na story ya kukupaka lipstick ?

Lipi la ajabu La Princesa huwezi kuwa mmama na bado ukabaki na urembo wako?
 
Mwambie wife kuna mwenzako nataka kuongeza mke ajue moja.

Wewe mtu ushaoa, ma hug hug mpaka upate lipstick na miadi ya kukutana jumapili ya nini?
 
Haaa... Kumbe tumesoma wote Ikizu Sec?? unawakumbuka akina Zilpa, Happy, Prisca na Tinna? Mie ni mmojawapo...
 
Jioni hii narejea home
nikaona nipitie mlimani city kumnunulia wife wine aipendayo ili nikitoka
namwacha na yeye akisuuza koo,nikiwa najiandaa kutoka baada ya
manunuzi nikijiandaa kutoka nikashikwa bega na mkona laini huku
ukilitaja jina langu,kugeuka nakutana na mdada tuliesoma nae ikizu sec
kawa mmama but still yuko beautiful,coz ni siku nyingi tuksjikuta
tumekumbatiana kwa furaha na akanichumu ilikua furaha ni siku nyingi
sana zaidi ya ten years,tukatafuta sehemu tukakaa na kupeana habari za
hapa na pale,coz time zilikua zimesonga tukabadilishana no and then
akanihug tukakubaliana tutafutane jpili tukaagana,nikarejea home
nijiandae kutoka,ile nafika home wife ananipokea nikashangaa sio kawaida
yake kuniangalia sana,nimezoea kukaribishwa na kupewa pole ya kazi na
kushukuru kwa nilichomletea,nikauchuna tukaongozana ndani ile kutua
mzigo tu maswali yakaanza eh mwenzangu hiyo rangi ya kike shavuni
imetoka wapi?eh na huo unywele kwenye shati lako vp?dah! nikaduwaa
nikajaribu kujitetea na kumwambia story nzima naona hanisomi kabisa ni
full kunyamaza na kutoa chozi yani hata hamu ya kutoka iimekata,ila
simlaumu yule dada najilaumu mwenyewe kwa kutojikakua baada ya kuachana
nae,weekend nimeianza mbaya.

pole ila wadada wenzangu punguzen hayo marangi ya lipstic paka lip shiner tu inatosha mbona mm napendezaga tu. sasa ona majanga maana sioni tatizo la kukusiana hapo tatizo ni marangi
 
Back
Top Bottom