Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Classmate wangu kaniharibia weekend yangu

Jioni hii narejea home nikaona nipitie mlimani city kumnunulia wife wine aipendayo ili nikitoka namwacha na yeye akisuuza koo,nikiwa najiandaa kutoka baada ya manunuzi nikijiandaa kutoka nikashikwa bega na mkona laini huku ukilitaja jina langu,kugeuka nakutana na mdada tuliesoma nae ikizu sec kawa mmama but still yuko beautiful,coz ni siku nyingi tuksjikuta tumekumbatiana kwa furaha na akanichumu ilikua furaha ni siku nyingi sana zaidi ya ten years,tukatafuta sehemu tukakaa na kupeana habari za hapa na pale,coz time zilikua zimesonga tukabadilishana no and then akanihug tukakubaliana tutafutane jpili tukaagana,nikarejea home nijiandae kutoka,ile nafika home wife ananipokea nikashangaa sio kawaida yake kuniangalia sana,nimezoea kukaribishwa na kupewa pole ya kazi na kushukuru kwa nilichomletea,nikauchuna tukaongozana ndani ile kutua mzigo tu maswali yakaanza eh mwenzangu hiyo rangi ya kike shavuni imetoka wapi?eh na huo unywele kwenye shati lako vp?dah! nikaduwaa nikajaribu kujitetea na kumwambia story nzima naona hanisomi kabisa ni full kunyamaza na kutoa chozi yani hata hamu ya kutoka iimekata,ila simlaumu yule dada najilaumu mwenyewe kwa kutojikakua baada ya kuachana nae,weekend nimeianza mbaya.

Nashukuru Kwa Kutufahamisha Kuwa Leo Umepitia Mlimani City Sasa Katembelee Na Tandale Sokoni Pia!
 
Mfuatano wa matukio ya hii story hauakisi uhalisia
 
Nlipokupendea ni kumnunulia wife nae wyne umuache akisuuza koo huko pengine aaah nasema upigwe tu....
 
Yani anywe wine peke yake huku jamaa anavinjari viwanja..afu ujue wine na nyege ni twins..! Wine mnakunywa pamoja ili mkishikwa na nyege mnamalizana bila kigugumizi..!

Sa atafanyaje bora tu aachwe na wyne kuliko kubaki anaua mbu, atajua tu jinsi ya kukabiliana na nyege zake jamaa si anaona kwenda viwanja nwenyewe ndo raha!!!
 
Sa atafanyaje bora tu aachwe na wyne kuliko kubaki anaua mbu, atajua tu jinsi ya kukabiliana na nyege zake jamaa si anaona kwenda viwanja nwenyewe ndo raha!!!

ha ha ha.
we mdada komenti zako huwa zinanifanya nitamani hata kukuona tu!!
mzima lakini?
 
hahahhaha
duuu labda ndoa ya mkeka!

Unajua MMU kuna chai sana siku hizi daaa mtu kavuliwa nguo hadharani!

Hahahahhh,nani kavuliwa nguo ha!thubutu,wife niko nae longtime tu,ila kuchepuka sunna kwa mwanamme rijali,hao wenu kama wanawadanganya oh you are only one to me bby,imekula kwako.
 
Back
Top Bottom