RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,835
habari zenu ma-great thinker,
nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS".
naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile itanisaidia kujua upper/lower class nao ni watu wa aina gani hapa tanzania.
inawezekana hili swali/post ishajadiliwa lakini mimi binafsi sikuiona hivyo nitaomba mnieleweshe,asanteni sana.