classes in tanzania

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
51,719
107,767
habari zenu ma-great thinker,
nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS".
naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile itanisaidia kujua upper/lower class nao ni watu wa aina gani hapa tanzania.
inawezekana hili swali/post ishajadiliwa lakini mimi binafsi sikuiona hivyo nitaomba mnieleweshe,asanteni sana.
 
Ni dalaja la katikati mkuu,hujui maneno ya kiswahili kama kuku wa kienyeji mzee??Kiswahili kipana kaka..
 
shusha kwanza hayo mabox yako chini utaelewa..................
 
Ni darasa la chekechea/vidudu!
Kuna :
-Baby class
-Middle Class, na
-Pre-Unit!
Huh!
 
Ni dalaja la katikati mkuu,hujui maneno ya kiswahili kama kuku wa kienyeji mzee??Kiswahili kipana kaka..

naomba ufafanunue,sijauliza direct translation....labda niongeze middle class inatokana na kipato chake/elimu/background??etc
 
habari zenu ma-great thinker,
nimekuwa nikisoma posts nyingi humu na kukutana na maneno haya "MIDDLE CLASS".
naomba mtu anieleweshe middle class tanzania ni mtu/watu wa aina gani?vilevile itanisaidia kujua upper/lower class nao ni watu wa aina gani hapa tanzania.
inawezekana hili swali/post ishajadiliwa lakini mimi binafsi sikuiona hivyo nitaomba mnieleweshe,asanteni sana.
Middle class kwa ninavyoelewa ni wale wenye maisha ya kawaida yaani anaweza kuweka chakula on a table.
 
naomba ufafanunue,sijauliza direct translation....labda niongeze middle class inatokana na kipato chake/elimu/background??etc
Ndipo hapo wanapochanganya life style na middle class. The idea of poverty is a norm in tanzania hivyo anaeweza kula ni middle class wasicho elewe this class is based on educated and top proffesionals.

Sasa kwenye nchi ambayo aithamini wenye elimu ya kweli na kuwatumia ipasavyo the whole concept of class disappears and class gets to be categorized as a lifestyle rather than the heirachy intended of defining it.

Utasema viongozi wetu ni wasomi Tanzania so far, surely tungeona right arguments on the press au hata huko mabungeni. Kwa bongo fanya lako liende chonga, ongopa, iba na ule. We are poor for reason.
 
Middle class kwa ninavyoelewa ni wale wenye maisha ya kawaida yaani anaweza kuweka chakula on a table.

Britain was once a class-ridden society. Today, multiculturalism and a changing economy are gradually eroding the British class system, but some features of the system still remain.
What is Class?
Sociologists define social class as the grouping of people by occupations. Doctors and lawyers and university teachers are given more status than unskilled labourers. The different positions represent different levels of power, influence and money. In days gone by your class would affect your chances of getting an education, a job, etc. and it would also affect the people who you could socialise with and marry. Today this type of thing is all-but-gone with the high-profile exception of the Royal family.
The British Social Class System

The British society has often been considered to be divided into three main groups of classes:
  • the Upper Class
    Often people with inherited wealth. Includes some of the oldest families, with many of them being titled aristocrats.
  • the Middle Class
    The majority of the population of Britain. They include industrialists, professionals, business people and shop owners.
  • Lower or Working Class
    People who are agricultural, mine and factory workers.
The British Class System today
Although some people in the UK still refer to themselves as "working-class", "lower-middle" or "upper-middle" (and of course there are those who think of themselves as the "elite" class), to the majority of the British the meanings don't seem to matter much these days.

swali langu je hii inaapply tanzania??
 
je hii inapp;y tanzania??
 
Mmbeba-mabox,

I dont know where you got your definition but it lacks clarity, the concept of class evolved in medieval Europe based on kingdoms and the chains that went underneath it: Aristocrats, landowners and the paupers (those who had nothing but man power).

Never the less the concept was conjured by max in describing social heirachy during the industrial revolution for what he saw as unfair way of distributing social wealth. And it obviously at those time those who had skilled and educated had to be given a class as they where innovaters and the catalyst of the revolution. This is where the middle class where born.

This was the case kama unataka kuongelea england ni until the beverage report ambayo iliamua society had to be helped. Na hapo ndipo hizo multicultural zilipotokana.

Today kwa kuwa wengi wanaelimu thats where you can question the concept, lakini tuna rudi pale pale especially kwa hapa bado kuna kitu kinaitwa favourism or preveledge. People with with similar identical education are still being categorized of where they have acquired those qualification and the pay gaps differ from scholars to scholars. Ndio maana unaona mfano wa hao proffesions ambao wana wa-value na expected to paid more. Since the debate has moved to privelege unaweza sema a minority are denied those equal chances to climb the social ladder.

Na kuna concept sasa ya income people such as footballers and other entrepreneurs who make large sums of money. The debate is long unless you have a sociology back hila class pretty much still exist in england and its open.

Kuna factors nyingi sasa life span ya mtu, deseases most likely to kill the poor ni vitu vingi these people aim for pure science and know the effects of modern categorization. Kingine the role of income plays a huge part in peoples life chances and preveledges. It is a long debate wacha niiishie hapa.
 
sehemu yoyote ile yenye viumbe hai ina classes... tunaanzia kwenye mitaa, mashuleni, siasa, uchumi, hata hapa JF

Just analyse critically utajua pacts everywhere na without classes hakuna society itakaoishi, classes are the drivers for organizational life
 
Middle class, ni mtu mwenye GPA ya 2.9/2.5 First class ni 4.5 and above lower class ni vilaza huwa wana disco.
 
Tanzania hamna proper classes, ndio kwanza zinaanza ku emerge.

The old chieftains were demolished by Nyerere. Up until the eighties I used to see Waziri Nyanganyi driving his VW beetle around sea view and upanga.The few merchants are mainly of Indian descent, and they are not significant enough to formulate a proper class.

If anything we have the ruling and ruled classes.
 
this is what i was thinking
 
first class
europeans
second class/middle
indians & arabs
third class/lower
africans
 
Hapa nchini, kwa mujibu wa mwananadharia ya Mapambano ya Kitabaka Tanzania, kuna matabaka 3:

1.Walalaheri
2. Walalahai
3. Walalahoi

Hao wanaoitwa daraja la kati wapo hapo katikati ya Walalaheri na Walalahai!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom