creedfx
Senior Member
- Jun 24, 2022
- 103
- 58
Nimshukuru Muumba kwanza
Alafu ni wasalimu wote humu niwaalike mnisaidie kuhusu class representative wa chuo kama udsm, I mean qualifications zipi na ni njia ipi ambayo mtu anapaswa kutumia ili awe class representative. Je, huyo class representative ana majukumu gani mengine tofauti na kusubmit kazi za wanadarasa?
Je, changamoto zake ni zipi, kuna hasara zipi na faida zipi za kuwa CR? Maana I wish sana niwe CR kwa kozi yangu maana nadhani kupitia hiyo nafasi ntaweza kuwasaidia wengi ili Mungu anihurumie na anisamehe zambi zangu.
Please naomba hata umtag mtu ili aje anisaidie!