shem huko kuna jam na giza balaa. hata sioni ujue. hebu tafuta alternative. lol
unachonga eeeeeeeehhhhh!!!!! utaoga mvua ya nakozzzz! ooohho.
ila shem najitahidi kuja kutupia hi humu. msije mkahisi nsharest in peace bure.
teh! naona shem wangu kaamua kunitosa baharini lol...
yeah huwa waja na kupotea kama mwezi mwandamo...
asa shem wataka nifanyaje mie?? au nimuite mdogo wangu anisaidie hapa.
Hehehe!! hivi wajua dada yako ndio anayenisaidia ku-type haya uyaonayo???
hata sijui. unaweza ukawa umenimiss zaidi ya account balance ya world bank???
Yote yanawezekana sana..
Narudi
oooh!!! hadi pms anakusaidia kujibu au hizo unamute nazo?
Huko ndio kakaba kama banio likamatavyo sufuria ya ugali kwenye mafiga...
asikabe sana. asije akafa kabla ya umri. si unajua pms zingine zinapoteaga njia!!!
unaenda wapi? nisubiri.
Hata mimi nataka kujua kwani ulikuwa unaenda wapi na unarudi wapi?unataka kujua ninapoenda? Njoo nkwambie.
Narudi