Za masiku kaka..??
duh!.......
kasema sheria tusitajane majina
yani waja tafuta mwanaume wa kutegemea humu!!?!?!
BTW this is chict-chat. msije nitoa macho bure!
shemeji saidia mimi!kuna nini pande hizi siku mbili tatu hiz?
Nzuri sana Mkuu! Ulipotea sana?
Nzuri sana Mkuu! Ulipotea sana?
shemeji saidia mimi!kuna nini pande hizi siku mbili tatu hiz?
nimependa DENTAL FORMULAE yako...who's your dentist???
huyo PAKA MWEUSI weusi wake ndio unamfanya tusimuone...ila yupo humu humu kila siku!!
Niliingia mzima mzima , nikajiamini, nikaona unatoka familia bora yenye malezi ya wazazi wanaojitambua ...............
..namshauri ahamie kwangu...hahahahahahaBi. dada kapendwa asipopenda...kuja kuhamaki huyo mchumba hewa hata jinale kashabadili!!!
Ntakuomba ushahidi wa uwepo wangu,vinginevyo naripoti abyuzi,hahahahah za masiku lakini kaka..??
Bi. dada kapendwa asipopenda...kuja kuhamaki huyo mchumba hewa hata jinale kashabadili!!!
..namshauri ahamie kwangu...hahahahahaha
Uwe unachunguza kabla ya kuparamia...siku nyingine utakujaparamia "shamba la mkonge"
hiv mtani haya makitu yaapo kweli!?
THIS ISSUE INAKUWA VERY SERIOUS!lol
aahahhahahha af akachomwa na mwiba wa kiuno au?
ila best una maneno TUKI haifai
lol!