Wanaforum salaam,
Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers....
.SHUKRAN.
achana na engeneering utakufa na njaa na kupauka kwenye jua kali la bongo..
hiyo waachie wachina waliobeba soko la bongo..
Wanaforum salaam,
Civil Engineers na yeyote mwenye experience na hii career naomba mshare knowlegde,advice anythng kuhusu hii career na sisi future engineers....
.SHUKRAN.
tanzania maengineer ni wa theory sio practical
Tanzania maengineer ni wa theory sio practical
je wewe ni injinia!?? Ulipoandika hili ulikua na ushirikiano na ubongo wako!??