Civics

Naombeni Msaada wa majibu swali la CIVICS.... "CULTURE IS DYNAMIC. DISCUSS"
 
Naombeni Msaada wa majibu swali la CIVICS.... "CULTURE IS DYNAMIC. DISCUSS"
Kwenye utangulizi Unatoa maana ya Culture,unaweka kidogo na aspect 2 za culture na tumifano kidogo kwa kila aspect. Kwenye kiini unajibu kwa kutumia features of culture. Mojawapo ni Culture is linked with the society, Culture is accumulative, Culture is adaptive, Culture is learned, Culture is shared, Culture is continuously etc. Conclusion utaweka mawazo yako kuhusu utamaduni MF. Waweza weka umuhimu Wa utamadaduni, au ukaasa jamii iachane na tamaduni mbaya kwa kutoa tumifano kadhaa au ukaiasa jamii izingatie na kuendeleza tamaduni nzuri kwa maendeleo ya jamii n.k. Haya kajibu hivyo halafu ulete mrejesho manake na mie najifunza pia
 
Asante sana ndugu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…