CISSP Training Center in Dar es Salaam

CISSP Training Center in Dar es Salaam

Bupilipili

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
46
Reaction score
16
Hallow dear folks and technocrats.

Am looking for the Training Center or Institution in Dar es Salaam which is conducting review program or training on Certified Information Systems Security Professional (CISSP).

Any one with credible information, please help!

Regards.

My contacts:

Mail: nzegenuka@yahoo.com ; Mobile: +255767 928 892
 
DIT conducted CISA review classes some months ago I am not sure if they provide CISSP review classes but you can pay them a visit.Otherwise most of the Technology institute in Tz are asleep when you visit the website for the companies providing security training you will find in Kenya there a lot of centers for their training while in Tz there is one or null.
Alternatively you can just buy the material and study on your own and register for their certification exams.Last time I checked for CISSP, certification exams were done in Kenya,what a shame for Tz.
If you want to study on your own which I am doing myself search for torrent file named " Cissp-Shon Hariss-2007-rip" it is a video file download it and your knowledge in security will not be the same.
All the best if you get any center for certification exams it Tz please let me know.
Soma chapter one kutoka kwenye attachment."If you can read you can learn anything".
 
Attachments

Hallow dear folks and technocrats.

Am looking for the Training Center or Institution in Dar es Salaam which is conducting review program or training on Certified Information Systems Security Professional (CISSP).

Any one with credible information, please help!

Regards.

My contacts:

Mail: nzegenuka@yahoo.com ; Mobile: +255767 928 892

I have cbtnuggets full video exam pack for CISSP, I can sell it for you if you wish to learn at home

alphonce@alphonce.net
 
Lets contact Mr. Alphonce.

u got my mail and 4n number
 
Nilifanya CISA nikafaulu mwezi june,kama kuna mtu anajua center ya CISSP hapa atujuze asee
 
Ulisomea wapi? Naomba kupewa taratibu za kuweza kufanya huo mtihani wa CISA
 
Kuna uhusiano gani kati ya CISA na CISSP
CISA ni kwa ajili ya auditing kwenye mifumo ya IT,na CISSP ni full security profession
Uhusiano na umuhimu wake unakuja pale ambapo auditor mwenye CISA anapotaka kujua zaidi mambo ya security(physical/ logical) yanayohusiana na kazi yake.

Pili CISSP is a bit heavy deep and wide inachukua karibia 80% ya contents za CISA...Nina kitabu cha Shon harris(CISSP) mambo karibia yote ya kwenye Cisa review manual yameelezewa ila ni too advanced kwenye topic za security(encryption)
 
KWa atown Hii Course inafundishwa wapi na ada kiasi gani wadau
 
Ulisomea wapi? Naomba kupewa taratibu za kuweza kufanya huo mtihani wa CISA
Mimi nilijisomea mwenyewe ila sikushauri ufanye kama mimi utatumia energy kubwa,tena kama unafanya kazi mahala ndo kabisaa utakosa muda wa kusoma vizuri, CISA ina mambo mengi ,ni vyema ukatafuta centers zake wapo watu wanafundisha kwa dar nishaona matangazo posta,hata humu jf pia nishaona.

Kitu cha kwanza unatakiwa uwe na kitabu cha Cisa ,ukisome chote mstari kwa mstari na kuelewa
Ufanye maswali ya kutosha kujua concepts za auditing,leadership,governance,project managements and data protection

Uingie kwenye website yao inaitwa www.isaca.org kuomba membership ujisajili na kulipa gharama ya membership,kama unaweza lipia na mtihani hapo hapo,pia unaeza kununua vitabu vyao humo ndani ,then unasubiri watakutumia ticket ya mtihani ambayo waga ni confidential inakuelekeza mtihani unafanyika wapi lini na saa ngapi

Zamani walikua wanafanya hoteli ya new afrika kule posta ila mimi nilifanyia law school jirani na mawasiliano jijini dar mwezi june mwaka huu

Pia mitihani yao ni paper based,ila nilisoma kwenye website yao,kuanzia mwaka ujao 2017 mitihani itakua online kama CCNA etc,ko nadhani hakutakua na ishu za kusubiri matokeo kwa muda mrefu
 
Asante sana kwa ushauri, kulipia mtihani na kujisajiri inagharimu kama tsh ngapi hivi?
 
CISA ni kwa ajili ya auditing kwenye mifumo ya IT,na CISSP ni full security profession
Uhusiano na umuhimu wake unakuja pale ambapo auditor mwenye CISA anapotaka kujua zaidi mambo ya security(physical/ logical) yanayohusiana na kazi yake.

Pili CISSP is a bit heavy deep and wide inachukua karibia 80% ya contents za CISA...Nina kitabu cha Shon harris(CISSP) mambo karibia yote ya kwenye Cisa review manual yameelezewa ila ni too advanced kwenye topic za security(encryption)
Naomba unitumie hicho kitabu kwa email hii massetae@gmail.com
 
CISA/CISSP book ni copyright materials,its against professional code of conduct kushare vitu vyao,wanasisitiza ukanunue kwenye webportal zao na kama ukigundulika umeshare material yao ambayo yana copyright wanakunyang'anya certification na hutoruhusiwa kuipata au kufanya mtihani mpaka miaka 20 ipite.Kwenye ishu hizi hawana utani na mtu asee
 
Back
Top Bottom