Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
Mitihani ya 640-822 ICND1, 640-816 ICND2 na 640-802 CCNA mwisho kuifanya September 30 baada ya hapo yote inabadilishwa na syllabus mpya.
Pia kwanzia sasa hakuna haja ya kupata CCNA kabla ya kufanya CCNA Voice, Security, Wireless etc unahitaji kuwa na CCENT (ICND1) tu!
Zaidi: CCNA Routing and Switching - IT Certifications and Career Paths - Cisco Systems