mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,709
Waungwana,
Salaaammm kwa wingi.
Naulizia kwa mwenye taarifa mahali mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania ambapo wanafundisha Certified
Information Systems Audit (CISA) kama Reviw Class au vinginevyo kwa ajili ya mtihani wa CISA December 2014.
Waungwana kwa mwenye taarifa tujuzane.
Elimu ni bahari.
Asanteni.