CISA class review nitapata wapi Dar es alaam na gharama zake zipoje ?

tired

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
107
Reaction score
23
Salama wadau

Nina nia ya kusoma kozi ya Certified Information System Auditor(CISA). Nataka kujua Mahali zinakotolewa Review class na gharama yake kwa DSM
vilevile na gharama za Mtihani.
 
Ninazo CISA video training packs ambazo zitakufaa kujifunza kila kitu ukiwa nyumbani

Pitia www.alphonce.net
Though sija upload CISA trial clips lakini naweza kukutumia trial download link kesho

Nitumie email address yako
 
samahani sana kaka, naomba na mimi nitumie hiyo video na materials nataka kufanya hizi paper niko seriously
 
Ninazo CISA video training packs ambazo zitakufaa kujifunza kila kitu ukiwa nyumbani

Pitia www.alphonce.net
Though sija upload CISA trial clips lakini naweza kukutumia trial download link kesho

Nitumie email address yako

Shukrani sana mdau
email yangu:ukatavu@gmail.com
Nafikiri kupitia video hizi naweza piga msuri binafsi Nyumbani na badae kufanya Mtihani.
 
Shukrani sana mdau
email yangu:ukatavu@gmail.com
Nafikiri kupitia video hizi naweza piga msuri binafsiNyumbani na badae kufanya Mtihani.

hivi kwa mtu ambaye hajasoma IT undergraduate ,amesoma accounting vipi uwezekano wa kufaulu hii mitihani upo ?
 
yes, unaweza kusoma CISA course na kufaulu mtihani. ni course iliyo andaliwa kwa mtu yeyote hata asiye na IT background
 
Ninazo CISA video training packs ambazo zitakufaa kujifunza kila kitu ukiwa nyumbani

Pitia www.alphonce.net
Though sija upload CISA trial clips lakini naweza kukutumia trial download link kesho

Nitumie email address yako

razakhashy@gmail.com
Nitadhukuru kama na mimi utanipatia
 
Back
Top Bottom