CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

mzee wa ndonga

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,108
88
The CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on January 19, 2015 and it will be conducted in Dar Es Salaam City Center Raha Tower Building 2nd Floor. Prepare for CISA certification and improve your job skills with the training you'll receive in this valuable review class.
The CISA training provided will equip candidate’s with technical skills and knowledge in various areas that and help candidates towards passing the CISA exam. We have experienced trainers with more than 10 years in Information systems Audit, information security, risk management and IT Governance.
The course Duration is 6 weeks, 3 hrs a day, from Monday to Friday, starting from 17:00-20:00hrs in the evening.
The course Fee is TZS 700,000/= which includes course materials like questions, answers and explanations., course manual and other supplementary materials.
Reserve your seat as we normally have limited students.

For more information please Contact us through +255 713451713
.
 
Ni requirements gani mtu anatakiwa kuwa nazo ili aweze kusoma hiyo CISA .na mitihani yake ikoje, na gharama za mitihani zikoje? na je mtu akitaka muda wowote kufanya mtihani anaweza? please give me the detailed information..
 
requirements za kusoma CISA sio za kutisha, unatakiwa angalau uwe na diploma ana degree yoyote, kwani utafundishwa kuanzia process za ku audit information systems hadi issue za Business Continuitry and disaster recovery..na ukishasoma, mitihani inafanyika mara tatu kwa mwaka, June, Sept na Dec. ila kwa tanzania Chapter mitihani ni June na december..mtihani wa Sept mara nyingi unafanyika Nairobi kwa walio nchi za africa mashariki. gharama inategemea pia, ukiwa member unaweza kulipa dola 420 na unaruhusiwa kufanya mtihani, na ukiwa non member unalipa dola 470. na kuwa member nakushauri usome maelezo kwenye website ya www.isaca.org ili upate kujua zaidi kuhusu CISA certification and how exams are conducted.
 
Kwa wanaojindaa kufanya mtihani wa Mwezi June, 2015, tutafanya review classes 2, moja itaanza huu mwezi wa kwanza na itachukua week 6 kumaliza chapter zote 5,, na nyingine itaanza mwezi wa tatu. kwa wale ambao wako busy makazini tunautaratibu wa kufundisha weekend ambao tutaangalia idadi ya watu tutakaokuwa nao. intensive training ya jumamosi na jumapili kwa masaa 6 kila siku. na wanaofanya mtihani wa mwezi wa 9 tutakuwa na review class moja kuanzia mwezi wa 7, na wanaofanya mtihani mwezi december tutakuwa na review class kuanzia mwezi wa 8 mwishoni na ingine mwezi wa 10 mwanzoni. so unaweza kuwasiliana na mimi kwa maelezo zaidi.
 
Kwa anayeanza, ili kupata iyo CISA unatakiwa kuwa umefanya mitian mingap na kufaulu? Na mda gan unaeza kutumia kuweza kumalza hyo mitian. Minimum time
 
CISA exams ni mtihani mmoja ambao una maswali 200, na muda wa mtihani ni masaa 4. ukishasoma manual na kufanya review ya kutosha, unakuwa tayari kwa mtihani. na pia tunatoa kitabu cha maswali na majibu na explanations. maswali yanayoulizwa yanaelekea kufanana na yanayotoka kwenye mtihani..ingawa sio one to one na hawarudii swali, wakirudia ni kwa style nyingine, so kinachotakiwa ni minimum understanding ya domain zote 5. in additional tuna CD yenye maswali zaidi ya 1,000 ambayo unaweza kuweka kwenye laptop yako na ukawa unafanya maswali popote ulipo. ingawa hii inauzwa, ni tofauti na hiyo fee....
 
Aisee mkuu hii kitu naitaka ile mbaya nitakutafuta unipe info za kutosha one to one
thanks in advance kwa hii habari
 
Usitie shaka SLM.. utakapopata nafasi please checkup with me through 0713 451713.am am sure u wont regret paying your money..kwani training tunayoitoa ni intensive na based on true scenarios and case studies. walimu wote wana CISA na pia ni experience Auditors ambao wamefanya kazi na reputable institutions kama TRA, National Audit, PPRA etc...
 
Naomba unitunzie nafasi moja jumatatu nitakuja ofisini kwa ajili ya maelezo kisha nitoe advance. na advance inaruhusiwa shilingi ngapi? kwani nimetafuta kwa muda kusoma hii course tatizo training center ni chache na walimu wengi sio experienced.
 
Hakuna shaka tarime..i will surely reserve one seat for you. twaweza kukutana even jumatatu any place nikupe details za kutosha .kama ukishindwa jumanne i will be in the office, twaweza kukutana pia tukaongea, ili ujue how serious our office is to transform the mind of people towards becoming the IT Auditors. karibu sana.
 
The CISA designation is a globally recognized certification for IS audit control, assurance, and security professionals.
Topics Covered:
Domain 1- The Process of Auditing Information Systems,
Domain 2- Governance and Management of IT (COBIT 5,ITIL) Frameworks and standards to be covered
Domain 3- Information Systems Acquisition,Development, and Implementation
Domain 4- Information Systems Operations,Maintenance and Support including business continuity and disaster recovery Plan
Domain 5- Protection of Information Assets (Physical,logical and Environmental controls)

Lets share what we have in a real world environment.
 
Hivi CISA kufaulu ni alama ngapi? Kuna mtu aliniambia ni 70%.ni kweli
 
What does it take for a man with no working experience in IT industry? Nimefanya Advanced Diploma ya IT lakini bado sijapata kazi lakini nina lengo la kusoma. Naweza kumudu?
 
The CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on January 19, 2015 and it will be conducted in Dar Es Salaam City Center Raha Tower Building 2nd Floor. Prepare for CISA certification and improve your job skills with the training you'll receive in this valuable review class.
The CISA training provided will equip candidate’s with technical skills and knowledge in various areas that and help candidates towards passing the CISA exam. We have experienced trainers with more than 10 years in Information systems Audit, information security, risk management and IT Governance.
The course Duration is 6 weeks, 3 hrs a day, from Monday to Friday, starting from 17:00-20:00hrs in the evening.
The course Fee is TZS 700,000/= which includes course materials like questions, answers and explanations., course manual and other supplementary materials.
Reserve your seat as we normally have limited students.

For more information please Contact us through +255 713451713
.

Samahani mkuu,gharama za mtihani kwa wazungu ni kiasi gani na ukichanganya na hiyo ya kwenu jumla inakuwa kiasi gani.?Pia napenda kujua kama nyinyi mko recognised na hao wazungu wa CISA.
Asante
 
Thanks IFRS.
CISA exam ina jumla ya maswali 200. Maximum marks unazotakiwa kupata ni marks 800, hii haimaanishi kuwa kila swali lina marks 4, A scaled score of 450 or higher is required to pass, which represents the minimum consistent standard of knowledge as established by ISACA's CISA Certification Committee.
Na mlinganisho wa maswali na marks uko kulingana na chapters zote tano kama ifuatavyo..
1.The Process of Auditing Information Systems – 14%
Provide audit services in accordance with IT audit standards to assist the organization in protecting and controlling information systems.
●
2.Governance and Management of IT – 14%
Provide assurance that the necessary leadership and organization structure and processes are in place to achieve objectives and to support the organization's strategy.
●
3.Information Systems Acquisition, Development and Implementation – 19%
Provide assurance that the practices for the acquisition, testing and implementation of information systems meet the organization's strategies and objectives.
4.Information Systems Operations, Maintenance and Support – 23%
Provide assurance that the processes for information systems operations, maintenance and support meet the organization's strategies and objectives.
●
5.Protection of Information Assets – 30%
Provide assurance that the organization's security policies, standards, procedures, and controls ensure the confidentiality, integrity, and availability of information assets.

So unatakiwa upate marks 450 na kuendelea ili uweze kufaulu,ukiangalia kwa haraka haraka chapter 5 ina carry weight kubwa,, so u better concentrate on it ingawa ukifeli mojawapo hata kama mengine umefaulu huwezi kuwa CISA certified.
'N.B. kufaulu ni very simple..
 
Kappa.
Unaweza kusoma review classes za CISA hata kama huna degree ya IT. nimewafundisha vijana wa Nationa Audit kwa mzee UTOH na walikuwa financials auditors ingawa wao walikuwa na experience ya auditing ila hawakuwa na background ya IT na walifaulu.. Kwa wewe ambaye umesoma degree ama diploma ya IT kwako itakuwa rahisi sana..ingawa unahitaji more skills and knowldge kuhusu principle of auditing...Ingawa kama umesoma IT...na una experience ya kazi inakusaidia kwa wepesi kufauu bila kutumia msuli..sisi tunakufundisha kuelewa principles za auditing na ufaulu mtihani..experience dont matter sana..
 
Last edited by a moderator:
Mjomba Mkude.
Gharama za kufanya mtihani inategemeana na kama uko member wa ISACA ama sio member.
Online early registrations received on or before early registration deadline US $420 kwa member na US $600 kwa non member.
Ili uwe member unatakiwa ulipie $180 US na kuna advantage nyingi sana za kuwa member, unapata punguzo la mtihani, punguzo la kununua materials, unapata journal monthly free of charge, na unahudhuria seminars na wrorkshops zinazoandaliwa na ISACA Tanzania Chapter which is our local chapter bila malipo na ku access library yao free of charge.

Kwa maelezo zaidi fungua www.isaca.org
 
Thanks IFRS.
CISA exam ina jumla ya maswali 200. Maximum marks unazotakiwa kupata ni marks 800, hii haimaanishi kuwa kila swali lina marks 4, A scaled score of 450 or higher is required to pass, which represents the minimum consistent standard of knowledge as established by ISACA's CISA Certification Committee.
Na mlinganisho wa maswali na marks uko kulingana na chapters zote tano kama ifuatavyo..
1.The Process of Auditing Information Systems – 14%
Provide audit services in accordance with IT audit standards to assist the organization in protecting and controlling information systems.
●
2.Governance and Management of IT – 14%
Provide assurance that the necessary leadership and organization structure and processes are in place to achieve objectives and to support the organization's strategy.
●
3.Information Systems Acquisition, Development and Implementation – 19%
Provide assurance that the practices for the acquisition, testing and implementation of information systems meet the organization's strategies and objectives.
4.Information Systems Operations, Maintenance and Support – 23%
Provide assurance that the processes for information systems operations, maintenance and support meet the organization's strategies and objectives.
●
5.Protection of Information Assets – 30%
Provide assurance that the organization's security policies, standards, procedures, and controls ensure the confidentiality, integrity, and availability of information assets.

So unatakiwa upate marks 450 na kuendelea ili uweze kufaulu,ukiangalia kwa haraka haraka chapter 5 ina carry weight kubwa,, so u better concentrate on it ingawa ukifeli mojawapo hata kama mengine umefaulu huwezi kuwa CISA certified.
'N.B. kufaulu ni very simple..

Kufeli chapter una maana ku'score zero kabisa au kuna minimum score kwa kila chapter.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom