mzee wa ndonga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,108
- 88
- Thread starter
- #21
Kappa.
Hapo juu nimeandika kuwa scaled score of 450 or higher is required for someone to pass the exams....kuna ukokotozi ambao tukionana ana kwa ana ni rahisi kuelezea kulingana na matokeo.ingawa ngoja nijaribu kufafanua hapa... kwa mfano. chapter 1 kati ya 800 umepata marks 500, na ukizingatia hapo juu nimeandika kuwa chaptre 1 ina carry 14% of the total weight, so unachukua 14% unazidisha kwa hiyo marks uliyoipata ya 500,inakuwa marks 70, kisha unajumlisha na lets say chapter 2 umepata 600 kati ya 800, unachukua 14% unazidisha na 600, unapata 80, assume chapter 3 umepata 450 kati ya 800, unachukua 19% unazidisha na 450, unapata 85, chapter 4 umepata 400 kati ya 800, unachukua 23% unazidisha kwa hiyo 400, unapata 92, kisha unaenda hivyo hivyo hadi chapter 5 kama umepata 460 kati ya marks 800, unachukua 30% unazidisha na hiyo 460,unapata 138, jumla yake iunachukua 70 + 80 + 85 + 92 + 138 jumla unapata 470. ukiangalia a scaled score inatakiwa iwe 450 or above, kwa haraka haraka unaona umepata 470, so you have successfully passed your CISA Exams. Kumbuka mtihani ni paper based, multiple choice questions na unasasahishwa kwa computer. hakuna uchakachuaji hata wa sekunde moja, u need to read the manual book between the line ili uweze kufaulu.
naamini umenielewa kwa ufafanuzi huo, kama hujanipata vema utanipa number yako nitakupigia, ama waweza nipigia tuongee bila shaka..

Last edited by a moderator: