Ciello!! Ciello!!Ciello!!

Ciello!! Ciello!!Ciello!!

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,685
Mara ya mwisho kumuona ni ktk jukwaa la Ajira!akifurahia na kushanglia kupata kazi Utumishi wa umma!amekauka sana jukwaani!yawezekana ni majukumu ya kitaifa!lakini pitiapitia hata huku!dah kweli kazi tamu...
 
Ha ha ha anawachora tu pole we
 
Ndio kusema kapata kazi ya uchoraji??? Ciello mtani hebu do ze nidful bhanaaa umejificha hadi kwa mtani wako lol!!!!

Ha ha ha anawachora tu pole we
 
Mimi nilisikia kahamia RUSSIA na haruhusiwi kutumia kompyuta!
 
mmh...sio kwamba kawa adopted na RiRi, baada ya kuonesha ushabiki mkubwa sana kwake muda wote hapa JF...

Mimi nilisikia kahamia RUSSIA na haruhusiwi kutumia kompyuta!
 
Mara ya mwisho kumuona ni ktk jukwaa la Ajira!akifurahia na kushanglia kupata kazi Utumishi wa umma!amekauka sana jukwaani!yawezekana ni majukumu ya kitaifa!lakini pitiapitia hata huku!dah kweli kazi tamu...

Katoka kimya kimya na yupo kivingine!!!
 
Atakuwa anazoea mazingira ya kazi, kisha tarudi jamani.... tumpe muda!
 
Nicole Kidman, nampenda sana huyo mwanamama kwa outstanding movies zake...

Ilibidi ajisalimishe hapa kwamba amezaliwa upya na kubatizwa kwa jina jipya la chit chat...........
Wapi Nicole Kidman
 
kaka kuandika uandike wewe, halafu gunia la misumari unitwike mie hahahah...umeniacha solemba ndio maana nimeamua kuuliza atii...si unajua kuna mrembo tunamsaka hapa

Ah,mkuu nikisogea hatua moja tu mbele,nahisi kumfuata Baba V!
Unganisha dots mkuu watu8!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom