Diff C9
Member
- Feb 12, 2021
- 64
- 64
Gwala kwa wana "Jf" wote, matumaini yangu majukumu yetu binafsi yanasonga ipasavyo.
Niende kwenye moja kwa moja kwenye mada husika, hivi karibuni nimeingia kwenye sekta ya android application design. Katika kuanza anza nimeanza kwa kujifunza p-l ya Java kama backbone ya programming kwa apps, lakini ilipokuja swala la kuamua kutumia aina ya IDE nikachagua Netbeans the reason behind ni kwamba niliona Android Studio ina vi package vingi ambavyo installation zake zinahitaji elimu ya ziada(I've been wanting to become somehow straightforward ).
Lakini nilipoanza tu kutengeneza project yangu ya kwanza(Hello world! to be sure😂😂😂😂) kwa Netbeans nimekumbwa na hili jambo mapema, kwanza haina templates za kuanzia nazo yaani it comes all to the empty workplace unayoandikia code and not otherwise, yaani haina sehemu ambayo utachagua rangi ya app yako baya zaidi ya hilo haina hata sehemu ya kuamua android version ya ngapi app yako inaweza ku 'run' comfortably whether application itaweza ku "run" na ku 'display' vizuri kwenye Tablets. We unajaza tu vi fields empty na kuanza safari . Sasa nilikuwa nauliza jamani kama kuna mtu amewahi kutumia Netbeans kama IDE anijuze je is it reliable and promising?.
PS: Mi ndo naanza kabisa kwenye upande huu wa Android App development sina any solid foundation zaidi ya Java na ku 'google', lakini hapo awali nilikuwa napenda mno kutengeneza website na nilikuwa natumia low and normal lgs kama HTML,CSS ,Bootstrap na Javascript. After a while I came to a conclusion that app development could be suitable than the earlier