CIA ya wamarekani yatoa takwimu ya wakristo/waislam TZ ktk website ya

Hivi kujua tuko wangapi ndo kunatupeleka mbinguni? Mbinguni utaenda mwenyewe. Sio dini itakupekeka pale.
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
Hata tetemeko la Bukoba wao ndio walipata taarifa za awali kabla ya Magu
 
Kuamini data hizo maana yake hata wewe huijui nchi yako.Ili CIA waweze kutuelewa vizuri lazima takwimu za kidini zetu ziwe softcated(Tusajiliwe kimtandao).Sasa watz wengi toka wamezaliwa hata vyeti vya kuzaliwa hata nusu yetu hatuko kwenye computer,Hao CIA data hizo watazitoa wapi? Wamefanya sensa kijijini?Hata zingine unaweza zipata google walau mtz akiwa kafika walau darasa la saba,wasioenda shule they never appeared in internet.Data wanazokusanya serikali hazina kipengele cha dini.Endelea kuwadanganya wajinga,labda kama wanatuscan na satelite zao kujua dini ya kila kichwa.
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
Fanya utafiti. Kama uliweza kutafuta hizo data umeshindwaje kutafiti kujua kama ni sahihi?
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
SISI TUNAOA WAKE WANNE IWEJE TUWE WACHACHE?MBONA IDADI YETU INAPUNGUA BADALA YA KUONGEZEKA?
 
hao jamaa ya kwa yanawashinda wanalalia ya watu,ngoja sasa mzee T.D. awasomeshe namba,ndipo watajua kuwa wao na make ngeza.
 
Current statistics on religion in Tanzania are unavailable because religious surveys have been eliminated from government census reports since 1967. Religious leaders and sociologists estimate that Muslim and Christian communities are approximately equal in size, each accounting for 30 to 40 percent of the population, with the remainder consisting of practitioners of other world faiths, practitioners of indigenous religions, and people of no religion.

Religion in Tanzania - Wikipedia
 
Hao CIA si ndo walisema Saddam ana silaha za maangamizi Wakati siyo kweli!. Hao ni wa kupuuza tu, ni lini wamefanya sensa nchini?

Tungeweza kujua ukweli kama serikali ingekubali takwa la masheikh la kuweka kipengele cha dini za watu ktk sensa!

Hizi speculation za aina hii ndiyo maana Masheikh wakataka kukatwa mzizi wa fitina, kiwekwe kipengele cha dini za watu, ukweli ujulikane!

unapewa data huzitaki unataka zipi mkuu,everything masheikh .Waambie basi hao masheikh wakupe data utakazoziamini. kama umesoma na kuielewa vizuri RESEARCH huwezi shangaa source of data
 
Bila Kuathiri Chochote Kwenye Thread Hii Hizo Data Zinatusaidia Kwenye Maendeleo ?
 
Watashindwa kujua hayo wakati wana ubalozi wao hapa nchini... Wana NGO's kibao hapa nchini... Wanakitu kinaitwa USAID hapa nchini...
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????
Huwezi ukatoa kitu tofauti na udini.
 
Huwezi ukatoa kitu tofauti na udini.unafurahia sana udini sivyo?
 
Hizo data CIA wamezipata wapi? au wamebuni!!? Mbona mimi sijawahi ona CIA wakija kuniuliza dini yangu?
Annael . . ,

Hukui tuu . . ?!

Hivi wewe unawaamini sana hao viongozi wako wa nchi hii . . ? Kwa umaskini tulionao, inawezekana kabisa kupata taarifa nyeti za nchi hii kupitia hawa hawa tuliowapa madaraka . .

Kama Saidi Kubenea na waandishi wengine wadogo wadogo tuu wanatufungua macho kwa takwimu na taarifa za taasisi zetu zilizo oza, sembuse CIA . . ?!

Kwa umaskini wetu , wanaweza kabisa kutununua na kupata taarifa yoyote SAHIHI waitakayo kuhusu Tanzania. .

Takwimu hizi hazina ubaya wowote, tatizo lipo kwa wale wanaokwenda kuzichakata takwimu hizi na kuzitumia dhidi yetu wa Tanzania . . Hata hivyo taasisiza Usalama wa nchi, sheria za usalama wa nchi zipo kuzuia lolote la hovyo kuibuka . .

Takwimu hizo ziko sahihi kabisa . .
 
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina, kilichonistua ni hizi takwimu za wakristo na waislamu tanzania hizi hapa chini

Christian 61.4%, Muslim 35.2%, folk religion 1.8%, other 0.2%, unaffiliated 1.4%
note: Zanzibar is almost entirely Muslim (2010 est.)

Kwa data zaidi ingia link hii hapa
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Je hizi data za wamarekani ni za kweli????

Nchi ya hovyo ya watu wa hovyo, eti dini ndo jambo kubwa kuliko yote katika web CIA. Sasa dini zikusaidie nini baadae?
 
Annael . . ,

Hukui tuu . . ?!

Hivi wewe unawaamini sana hao viongozi wako wa nchi hii . . ? Kwa umaskini tulionao, inawezekana kabisa kupata taarifa nyeti za nchi hii kupitia hawa hawa tuliowapa madaraka . .

Kama Saidi Kubenea na waandishi wengine wadogo wadogo tuu wanatufungua macho kwa takwimu na taarifa za taasisi zetu zilizo oza, sembuse CIA . . ?!

Kwa umaskini wetu , wanaweza kabisa kutununua na kupata taarifa yoyote SAHIHI waitakayo kuhusu Tanzania. .

Takwimu hizi hazina ubaya wowote, tatizo lipo kwa wale wanaokwenda kuzichakata takwimu hizi na kuzitumia dhidi yetu wa Tanzania . . Hata hivyo taasisiza Usalama wa nchi, sheria za usalama wa nchi zipo kuzuia lolote la hovyo kuibuka . .

Takwimu hizo ziko sahihi kabisa . .
Ziko sahihi wamezipata wapi? Ndio swali langu. Maana sijawahi kuulizwa mimi dini yangu.
 
Back
Top Bottom