CIA wasema watagomea Amri ya Rais D.Trump!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Donald Trump!
Hili jambo nashindwa kulielewa wataalamu wa ,,USA Baby"... waje kunielewesha hapa, ni kwamba Mkurugenzi Mkuu wa CIA Bw. John Brennan amesema kwamba iwapo D.Trump akiwa Raisi Marekani na akaamua kutekeleza yale ambayo leo hii anayaahidi kwenye kampeni zake kama vile kuwatesa Magaidi watakao kamatwa, basi CIA itakaidi Amri hiyo ya Raisi!

Sasa hapa ndipo kwenye utata, nijuavyo kwetu TZ huu ni uhaini na hii peke yake inatosha kumfukuzisha kazi huyo Mkuu wa Usalama, lkn Marekani inaruhusiwa? Au kwa sababu kwa D.trump kila jambo linaruhusiwa??

Bw. Brennan!
Senate-Intelligence-Committee-Hearing-on-World-Wide-Threats.jpg
 
Nadhani huo ulikuwa mtazamo wa mtu binafsi hata ni utumishi wa CIA ila hauwezi msimamo wa CIA
 
Donald Trump!
Hili jambo nashindwa kulielewa wataalamu wa ,,USA Baby"... waje kunielewesha hapa, ni kwamba Mkurugenzi Mkuu wa CIA Bw. John Brennan amesema kwamba iwapo D.Trump akiwa Raisi Marekani na akaamua kutekeleza yale ambayo leo hii anayoahidi kwenye kampeni zake kama vile kuwatesa Magaidi watakao kamatwa, basi CIA itakaidi Amri hiyo ya Raisi!

Sasa hapa ndipo kwenye utata, nijuavyo kwetu TZ huu ni uhaini na hii peke yake inatosha kumfukuzisha kazi huyo Mkuu wa Usalama, lkn Marekani inaruhusiwa? Au kwa sababu kwa D.trump kila jambo linaruhusiwa??

Bw. Brennan!
Senate-Intelligence-Committee-Hearing-on-World-Wide-Threats.jpg
We hujui mfumo wa marekani!! Sio kama Tz au nchi za Africa kwamba raisi ndo kila kitu kule raisi hawezi kuingilia kila mfumo!! Mfano mifumo ya maendeleo,katiba na mingine nyeti!! Ndo maana hata wakipata rais mbovu marekan haiwez kushuka kiuchumi
 
Allaa kumbe!!! Sasa kama ni hivyo ni kwa nini hata wanatumia fedha nyingi kufanya uchaguzi kama hamna tofauti wawe na Raisi au wasiwe na Raisi, kwamba uchumi utakuwa na utabakia tu kama ulivyo?? Au wanafanya uchaguzi kutimiza wajibu tu???
 
Yaani hao CIA wawatese magaidi kama anavyotaka trump itawezekana vipi wakati hao magaidi ni tawi la jeshi la marekani kama ilivyo Navy, NSA, etc? Yaani itakuwa kichekesho ndio maana wanamwambia huyo "mpuuzi" trump kwamba haitawezekana kutesa sehemu ya jeshi lao
 
Si kazi za rais znabaki palepale ila system yao IPO stable sana!! Hasa kwa baadhi ya mambo!! Kuna mifumo mingine hata rais haingilii!! Rais atapaki kua mwakilish wa nchi yake,kukuza ushirikiano na mataifa mengine!! Ile nchi haiongozw na rais kama anavopenda kama nchi za afrika
 
Source tafadhali

Angalia mamlaka ya Rais wa Marekani ana limitations katika maamuzi ya federal issues, like security, Bank systems ,federal bank, dev Budget na baadhi ya teuzi mbalimbali c unawajua Congress na nguvu yao katika federal interest
 
Si kazi za rais znabaki palepale ila system yao IPO stable sana!! Hasa kwa baadhi ya mambo!! Kuna mifumo mingine hata rais haingilii!! Rais atapaki kua mwakilish wa nchi yake,kukuza ushirikiano na mataifa mengine!! Ile nchi haiongozw na rais kama anavopenda kama nchi za afrika

Duh! Kwa hiyo Wamarekani wanakwenda kwenye uchaguzi kuchagua raisi kwa ajili ya mambo ya ushirikiano kimataifa? Kwa hiyo ile midahalo yote ya mambo ya kiuchumi ni danganya toto tu?
 
Donald Trump!
Hili jambo nashindwa kulielewa wataalamu wa ,,USA Baby"... waje kunielewesha hapa, ni kwamba Mkurugenzi Mkuu wa CIA Bw. John Brennan amesema kwamba iwapo D.Trump akiwa Raisi Marekani na akaamua kutekeleza yale ambayo leo hii anayaahidi kwenye kampeni zake kama vile kuwatesa Magaidi watakao kamatwa, basi CIA itakaidi Amri hiyo ya Raisi!

Sasa hapa ndipo kwenye utata, nijuavyo kwetu TZ huu ni uhaini na hii peke yake inatosha kumfukuzisha kazi huyo Mkuu wa Usalama, lkn Marekani inaruhusiwa? Au kwa sababu kwa D.trump kila jambo linaruhusiwa??

Bw. Brennan!
Senate-Intelligence-Committee-Hearing-on-World-Wide-Threats.jpg
Kwani CIA Director anateuliwa na nani? Tuanzie hapo.
 
Ngoja niweke story ndefu kidogo; wakati Sumaye anaondoka ccm kujinga na upinzani pale Silver sand hotel, alizungumza mengi but kuna 1 nililipenda sana. Alisema anataka kuja upinzani ili kutofautisha shughuli za ccm na za serikali, akatolea mfano wa OCD wa police jinsi gani hua anajikuta analazimika kufanya kazi za ccm badala ya serikali.
Wakati wa kampeni za urasi wa Marekani mwaka2008, Obama alinadi sana habari ya kulifunga gereza la Gwantanamo pamoja na kuondoa majeshi yake kule Iraq na Afganistan; Makain yeye alikua anasisitiza kuamini katika mkono wa chuma dhidi ya Iraq na sehemu zingine za dunia; CIA kama chombo cha serikali walikua wanawasikiliza wagombea wote hao 2 na walikua wanajua mmoja wao atakuja kua rais wa Marekani na itawalazimu kufanya nae kazi wapende au wasipende. Nakumbuka mara baada ya Obama kushinda KURA za Wamarekani, CID walimwita na kukaa nae zaidi ya saa 8 (hi ilikua kabla haja apishwa) nini waliongea hadi leo ni siri yao, ingawa inasemekana walimwambia madhara ya kulifunga gereza la Gwantanamo mapema kama alivyo ahidi kwenye kampeni, habari zinaendelea zaidi kua wao kama CIA walimwambia kua Osama bin Laden atapatikana through Gwantanamo (nimeiangalia ile scrip iliotengenezwa na CNN, kama asingekua yule mfungwa wa kule gerezani aliyesababisha Al Kuwait kupatikana hakika Osama hadi leo angekua HAI). NAdhani hadi leo Obama hajatekeleza mpango wake huo wa kulifunga lile gereza hadi sasa. Nacho taka kusema hapa ni hiki, wenzetu wanajua namna ya kutofautisha kati ya kazi za siasa na za kitaalam; kwetu hapa mwana siasa ana uwezo wa kumwambia Daktari asitubu kwa kutumia dawa Mseto badala yake atumie SP na still mambo yakaenda tu vizuri.
 
Yaani hao CIA wawatese magaidi kama anavyotaka trump itawezekana vipi wakati hao magaidi ni tawi la jeshi la marekani kama ilivyo Navy, NSA, etc? Yaani itakuwa kichekesho ndio maana wanamwambia huyo "mpuuzi" trump kwamba haitawezekana kutesa sehemu ya jeshi lao

Mkuu sijaelewa inakuaje magaidi wawe sehemu ya jeshi la Marekani nitoe nta ya masikio mkuu
 
Acha kudanganya, hata Marekani pia wana hilo tatizo la kutenganisha Siasa na Utaalamu na kuna maamuzi mengi sana ya ambayo Viongozi wa Marekani wamechukuwa ambayo ni kisiasa na siyo ya Kitaalamu, hivyo usipotoshe kabisa!
Kwa mfano kuvamia Iraki ulikuwa ni uamuzi wa kisiasa na siyo wa kitaalamu, kuvamia na kumuua Gadafi ulikuwa ni uamuzi wa kisiasa na siyo wa Kitaalamu kwani Wataalamu wote walionya kuhusu ombwe ambalo lingetokea baada ya Gadafi kuondoka na walipuuziwa leo hii Ulaya wana shida kubwa ya wakimbizi kwa sababu ya ombwe la uongozi Libya, Iraki na kwingineko!

Hivyo hata huyo Sumaye wako kama ukawa wangeshinda Uraisi asingeyafanya hayo aliyoyasema, kwani alikuwa Kiongozi namba 2/3 baada ya Raisi mbona hakuyafanya hayo? Iweje uje umuamini leo hii ili hali hana madaraka?

Hii hali ya kuwaona Wazungu kwamba ni wako sawa kwenye kila kitu wanachofanya ndiyo inayotulostisha na kuturudisha nyuma, acheni huwo ujinga!!
 
Nakumbuka gadafi alikamatwa na kufanyiwa ubaya na walibya wenyewe, tena wakishangilia
 
Yaani hao CIA wawatese magaidi kama anavyotaka trump itawezekana vipi wakati hao magaidi ni tawi la jeshi la marekani kama ilivyo Navy, NSA, etc? Yaani itakuwa kichekesho ndio maana wanamwambia huyo "mpuuzi" trump kwamba haitawezekana kutesa sehemu ya jeshi lao
Mkuu nimekuelewa sana
 
Back
Top Bottom