Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,430
- 38,005
Leo nilisema mpaka niipate hii PUMBA na NimeipataKufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.
Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".
Sent using Jamii Forums mobile app
@mohamedidrisa789:Naomba tu uwe na kumbukumbu ya maneno yako hayo maana siku zote muda ndiyo msema kweli.Utakapomuona tena Kim kwenye gwaride basi uje tena na huu uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Waunde mara ngap wakat wanatest Kila cku ....wanazo tayariUS sio watu wazuri.ila kama kafa kweli basi lazima tu kiti chake atakalia kichwa kingine mpaka malengo yao ya kuunda silaha za nyuklia yatimie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kim amekuumbua na taarifa za uongoKufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.
Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".
Sent using Jamii Forums mobile app
aibu naona mimi mtu mzima wewe kuumbukaKufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.
Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu huyu jamaa anayejiita "My Son Drink Water" ni mjuaji sana(much know). Anavyoelezea utafikiri alikuwepo kwenye Mpango Mkakati na hao CIA.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Leo nilisema mpaka niipate hii PUMBA na Nimeipata
Ahsante MKUU kwakutumezesha Matango Pori Ehe
CIA mnasemaje Huko Makao Makuu Yenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using My COVID-19
Kama ni kazi ya CIA basi it is strategic sana, wametarget wakijua kwa sasa regime haina mrithi wa caliber yake, ndugu zake wote alishawaua yeye mwenyewe. Maybe N.Korea itapata political and economic reforms sasa (if and only if.......)
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa atakua ni Mwanachama wa CIA [emoji23][emoji16][emoji3][emoji2]Halafu huyu jamaa anayejiita "My Son Drink Water" ni mjuaji sana(much know). Anavyoelezea utafikiri alikuwepo kwenye Mpango Mkakati na hao CIA.
Ufyagiwe tu hauna namna ssBaada ya kim kuonekana jana, huu uzi uendelee kuwepo au mods waufute tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaha, Akikujibu nitag mkuuNaomba tu uwe na kumbukumbu ya maneno yako hayo maana siku zote muda ndiyo msema kweli.Utakapomuona tena Kim kwenye gwaride basi uje tena na huu uzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
@Frank WanjirKufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.
Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Updates please.Kufanyiwa operesheni ya moyo Rais wa Korea kaskazini, na kisha hali yake kusemekana ni mbaya au pengine amefariki Dunia ila Siri zinafichwa kwanza, inasemekana ni njama za Marekani.
Kwa mujibu wa CNN TV hali ya Rais Kim Jong Un ni mbaya mno, yuko mahututi, all in all, hakuna kosa ambalo Rais Kim alilifanya Kama kukutana na Rais Trump.
Slogan ya CIA ni "Get them close to you in order to have your task easily executed ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe amefufuka.