My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
- Thread starter
-
- #61
Kim hakuwa na matatizo makubwa ya moyo kiasi hicho, mtu mwenye heart problems hawezi ku attend uvurumishaji wa makombora.Eti CIA tehteh, baba yake nae pia alikufa kwa matatizo ya moyo pia ni CIA? yaani hawa ni wale wanaosema leo eti kuna taifa teule hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mwenye matatizo ya moyo anahudhuria tukio la kurusha makombora?Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu.
Hata hivyo wakitaka kukuua mara nyingi wanapitia mlemle kwenye historia yako ya kiafya ili kazi yao iwe soo clean, kama huna matatizo ya kihistoria ya afya yako basi hapo ndo wataumiza kichwa kutimiza lengo lao.Dogo ana matatizo ya moyo kitambo sana tangu akiwa akiwa anasoma...
Kumbe na wewe una uelewa mdogo kiasi hicho?
Kweli wewe ni zero kwenye International issueskwani kim ana uadui na US ?
US ndo anammaindi kim.ila kim anafanya mambo yake tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani kim ana uadui na US ?
US ndo anammaindi kim.ila kim anafanya mambo yake tu
Sent using Jamii Forums mobile app
inshu zipi na kingereza chako cha manati boya ww.
Mkuu huu uzi maalumu lini utauleta asee?Kuna baadhi ya Mawaziri wapo kwenye payroll ya CIA, na TISS hawajui, unaijua kwa kina kazi ya Rostam Aziz?
Nikitulia nitakuja na uzi maalumu, jiulize, kwa nini Rostam ni rafiki wa kila Rais?
Kifo cha Mengi, kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia, na hayati Mengi alikuwa adui mkubwa mno wa Rostam.
Niishie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wowote mkuu nikitulia tu, ni follow ili uupate kirahisiMkuu huu uzi maalumu lini utauleta asee?
Unapingana na report ya ma doctor ? Hao kwenye familia yao wana maladhi ya moyo na ya kurithishana. Nachojua huyu bwana brain imeharibika ndio tatizo kubwa. Ila la moyo pia lipoMtu mwenye matatizo ya moyo anahudhuria tukio la kurusha makombora?
Tumia kichwa kufikiri na siyo makalio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushawahi kuyajua malengo ya maadui wa US mpaka ukasema hayafanikwi ?!Hakuna adui wa US aliyewahi kutimiza lengo, ukiinua kichwa, kinafyekwa kabla hujatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu ww una ushahidi kama kiduku kafariki ?!
Kwanini asihudhurie MKUU kwani unahisi kila mwenye tatizo lamoyo anakua na mstuko ama kuanguka kama unavyohisi namatanyingi tatizo lamoyo hua linatokea kwajambo ambalo sio lakutarajia kama mstuko flan nahalaf pia kim kukagua yale makombora yakiwa yanafyatuliwa sikama anakaa hapa nahapa anakaa umbali mkubwa kiasi kwamba mda mwengne anatumia mpaka darubini kuangalia ufanyikaji watukio husikaKim hakuwa na matatizo makubwa ya moyo kiasi hicho, mtu mwenye heart problems hawezi ku attend uvurumishaji wa makombora.
Halafu Baba yake Kim hakufa kwa heart attack, alikuwa na Cancer ya muda muda mrefu sana na alikufa siku nyingi ila Taarifa zilifichwa na kisha Dunia ikatangaziwa eti alikufa kwa heart attack.
Chuki zako kwa Marekani hazikusaidii lolote, kweli iko pale pale US ni super power na Israel ni Taifa teule
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mkuu sijasema kafa, hebu soma tena Topic yanguKwani mkuu ww una ushahidi kama kiduku kafariki ?!
Kama unao hem ukuje nao hapa tuuone pls .
Sent using My COVID-19
Spark ya kombora mkuu ni balaa Ukiwa na heart disease unakufa on the spotKwanini asihudhurie MKUU kwani unahisi kila mwenye tatizo lamoyo anakua na mstuko ama kuanguka kama unavyohisi namatanyingi tatizo lamoyo hua linatokea kwajambo ambalo sio lakutarajia kama mstuko flan nahalaf pia kim kukagua yale makombora yakiwa yanafyatuliwa sikama anakaa hapa nahapa anakaa umbali mkubwa kiasi kwamba mda mwengne anatumia mpaka darubini kuangalia ufanyikaji watukio husika
.
Sent using My COVID-19
Swali langu halijahusiana na TOPIC yako MKUU limehusiana na Jibu Ulilomjibu jamaa kuhusiana na KIM nandio maana nikakuuliza hv MKUU alisema kim yupo hai ukasema aweke ushahidi kama yupo hai kwatafairi yaharaka unakubali kama jamaa kafa nandio maana na mm nataka ushahidi kama jamaa kafa
Inategemea ulikua na utayari gani watukio MKUU na Umbali Wenyewe unahisi bwana Kim anakaa hapa na kombora lipo Futi Moja Tu ?!Spark ya kombora mkuu ni balaa Ukiwa na heart disease unakufa on the spot
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulisha wenzako kamba yaani wew jamaa.. HahhahaKumbe na wewe una uelewa mdogo kiasi hicho?
Una support umbumbumbu wa huyo jamaa?
Yaani hajui kuwa CIA works by being instructed by the US President when such a necessity arises
Hii mada ni ya watu intellectuals, acha chuki na ushabiki, jikite kwenye ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatulisha kamba ila mwenyewe anaona mapoint, ajabu wenye mawazo tofauti na yeye anawaona vilaza. Very interestingAcha kulisha wenzako kamba yaani wew jamaa.. Hahhaha