Chura mbabe mwenye nywele

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,426
Reaction score
7,942
Chura Huyu Ni chura mkali zaidi duniani na mwenye hasira ya Hali ya juu Sana . Watu humwita chura mwenye hasira wengine humwita Askari wa shamba kutokana na ukali wake. Walimwita hivo kutokana na tabia za ukali alizonazo .

Mtu wangu chura Huyu Ni mkali kiasi ambacho yupo tayari kupambana na binadamu na inasemekana kuwa anaweza kuvunja mfupa wake Kisha kuutumia Kama silaha ya kushambulia adui wake.

Chura Huyu anapatikana sehemu za Afrika magharibi na huko nchini kongo .
 
Msimbazi waache dharau ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yan anavunja mfupa wa mwilin mwake ili kumshambulia adui yake!!? Huyu kweli kichaa
 
Nilivokuja mbio sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Inasadikika chura huyo kwa Sasa ni mjamwenyeuzito #mjimzitohuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ