Chura kiumbe wa karne

Bei yake kwa sasa ni ngapi huko kwenu?
ina tegeme mto au bwawa ulilotembelea chura wana jisaminisha kulingana na jinsi walivyo nona. chula waitalono aka uswahili niwatamu ila uvuaji wake uwe mvumilivu. hawa bwawani ukiwa na dau kuanzi 30elfu unavua maji ya magotini. ukipanda ndau waweza vua usikumzima kina unachotaka ila kunona kwa chura na garama yake inakuwa juu
 
Mapinduzi ya chura ni aina yake kabisa kuwah kutokea.

Saivi kumekua hakuna mzungu, wala muhindi wala Muarabu habari ni chura tu.

Ukitaka umaarufu mitaani au mjini maneno ni chura

Ukitaka utajiri maneno ni chura
Urahisi wakupata ajira maneno chura

Hivi tutizame heshima wanayoipata Vera Sidika, Wema Sepetu na Kim Kardashian kwenye jamii zao unafikiri nini ???? Churaaaaaa
 


Umetisha mkuu
 


Chura kaunganisha ulimwengu mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…