Chura huyu afungwe kabla hajakua

Aisee itabidi afungiwe kwanza mleta thread..maana bila yeye huyu chura hawezi kusambaa hivi.
 
Emmanuel Mlundwa amefungiwa kwa kuwachezesha watoto wadogo kwenye ngumi...na hawa nao wanaowatumia watoto wadogo kwenye dansi watafutwe na kushughulikiwa
Nadhani happo n kwenye promosheni za Tigo. Wahusika wanaonekana vema tu. Kama kuna sheria wapelekwe kunakohitajika
 
Huku nikudhalilisha watoto na kuwafundusha mambo ambayo hawajafikia umri wa kufanya. hawa hawa ndio wana chezea watoto wadogo - sherial ichukue mkondo wake kuwalinda watoto dhidhi ya hawa wanao watumia visivyo
 
Back
Top Bottom