Chupu chupu niage dunia

Chupu chupu niage dunia

Hadi nawasikitikia.

Na nyie mnaanza kufuata nyayo kwa kila kitokeacho kuja kukianika.

Sijaona umuhimu hapo kwan sio kila kitu tunapaswa kujua wanajukwaa.

Ooooh unataka fulana anamhisia mke wake anamsaliti ndo aje aanike humu ndani??? Unidentified ID so usipanick mkuu emmyta
 
Last edited by a moderator:
Hahaha!! Sasa wewe kuku wako manati ya nini?? Ungekufa bureee,ila ndo ungekufa kikondoo!!!!!!
 
ahaaaa itabidi season 2 unimalizie..." baada yakula mweleka mli resume au ilikuwa ndo the END"...???
 
salaleee nishamkosa mteja wa majeneza hapa kibandani kwangu...
 
unge audit kwanza bafu kama liko "free from dirt contaminated and fair washed" then uanze kazi...
 
Mkuu umenivunja mbavu dah
WanaJF Mambo haya bhana ya raha yake,....

Baada ya mizunguko ya kazi zetu hizi za Auditing za kuzunguka kila sehemu hasa mikoani mara moja sana nje ya nchi. Jana ndo nimerudi hme baada ya week tatu sasa toka nitoke nikiwa na hamu sanaaa na shemeji yenu, bhanaaa nikaomba shemeji yenu anipe company ya kuoga wote.

Uwiiiiiii si tukaleza bafuni wakati tunaniiiiiiiiiiiiii......pona yangu niliwahisha mkono ukutani tukawa tumeanguka style fulan hvi.......usiniulize tulikuwa tunatumia style gani?....

Bafuni patamu ila kuweni makini na style ya kutumia......
 
unge audit kwanza bafu kama liko " free from dirt contaminated and fairly washed" ndo ungeanza kazi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom