Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
WanaJF Mambo haya bana ya raha yake.
Baada ya mizunguko ya kazi zetu hizi za Auditing za kuzunguka kila sehemu hasa mikoani mara moja sana nje ya nchi.
Jana ndo nimerudi home baada ya week tatu sasa toka nitoke nikiwa na hamu sana na shemeji yenu, bhanaaa nikaomba shemeji yenu anipe company ya kuoga wote.
Uwiiii si tukateleza bafuni wakati tunaniiiiiiiiiiiiii......pona yangu niliwahisha mkono ukutani tukawa tumeanguka style fulan hvi.......usiniulize tulikuwa tunatumia style gani?....
Bafuni patamu ila kuweni makini na style ya kutumia.