ni kumsitiri aliye vaa endapo nguo aliyo vaa inaweza kuchanika ghafla afu kwa akina dada ni miongoni mwa silaha zao kwa mfano akiwa kwenye cycle yake au pindi ikitokea mtu akataka kumbaka huchuka muda kidogo mpaka afanikishe hivyo ina saidia sana, kama wewe huoni matumizi yzke basi we una akili kama bata