Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
oa chupi
hahahahahahahahahahahahahahahahahah asante kwa kunichekesha mana tangu asubuh nimenuna..
oa chupi
Lazima kuanza na salaam HABARI ZA UZIMA MWANA JF
Leo naomba kujua haya ni mapungufu au ni ugonjwa ? na tiba Yake ni nini
Kiukweli mm ninapo ziona hizi Nguo za wanawake ambazo ni chupi huwa uume wangu unasimama sana iwe dukani au imeanikwa wakati mwingine mpaka tumbo lina anza kuuma sielewi tatizo hili linasababishwa na nn plz msaada wako
Nunua chupi anza kuvaa itafika mahali utazizoea na utaona kawaida so haitakutesa tena,Teh!!
chupi ya mwanamke inanyegesha pale amevaa mwanamke bana
Na Ndio tiba mbadala or anataka miti shamba wapi ndodi
Nunua chupi anza kuvaa itafika mahali utazizoea na utaona kawaida so haitakutesa tena,Teh!!
Tafuta mchumba uowe achana na fikira hizo zako za nyege. Inaonyesha hujafanya siku nyingi mambo ya mapenzi wewe ? Ukiwa huku ughaibuni unaweza kuwa mwendawazimu kuna mpaka Papuchi za sanamu zinauzwa wanawake wa huku ughaibuni wanatembea mwili wazi pasipo na kujistiri ninafikiri ukiwa huku utakuwa mwendawazimu chupi tu zinakufanya wewe Dushelele lako lisimame kama la punda? pole sana.
Mkuu huyu SHIKAMOO PESA ana nyege nyingi mpaka zinamsumbuwa akili zake itabidi apate mchumba akili zake zitulizane.
Mkwe umesema ukweli mtupu nyege mbaya unaweza kuambiwa una mashetani au umerogwa ukapagawa kabisa kumbe walaa.....lol
...yaelekea una tatizo la PREMATURE ejakulation....hujaingia tu ushamwaga
Mkuu yawezekana ni matokeo ya nyege, ukikaa mda mrefu bila ngono, hasa kama umewahi kufanya ngono kabla, hakika akili haitatulia, jaribu kuwa na gf ambaye atakutimizia mihemko yako.
Mambo moto motoTafuta demu wewe uwe unamgonga ndani ya miezi mitatu hiyo kitu kinapotea. Nahisi wewe ndo unabalehe