SHIKAMOO PESA
Member
- Aug 13, 2014
- 91
- 10
- Thread starter
- #21
tatizo si pesa tatizo virus kibao
Lazima kuanza na salaam HABARI ZA UZIMA MWANA JF
Leo naomba kujua haya ni mapungufu au ni ugonjwa ? natiba Yake ni nn
kiukweli mm ninapo ziona hizi Nguo za wanawake ambazo ni chupi huwa uume wangu unasimama sana iwe dukani au imeanikwa wakati mwingine mpaka tumbo lina anza kuuma sielewi tatizo hili linasababishwa na nn plz msaada wako
mkuu jamaa kawasilisha mawazo yake vibaya,ila kweli zinasisimuashule ziimefungwa sijui au bado..
ila kuna ka uhalisia,hizi pichu za kike zinavuta hisia sometimes.Ha ha ha ha ha mijitu mingine taabu kweli kweli.
wala si hivo,huwa akivaa chupi inakuwa inatamanisha zaidiUkimwona demu kaiva na hana nguo nyingine c ndo utakufa kabisa.Acha ushetani
hata za dukani????? aiseeeee unahitaji maombi
hizo si ndo zinang'aa zaidi?
Lazima kuanza na salaam HABARI ZA UZIMA MWANA JF
Leo naomba kujua haya ni mapungufu au ni ugonjwa ? natiba Yake ni nn
kiukweli mm ninapo ziona hizi Nguo za wanawake ambazo ni chupi huwa uume wangu unasimama sana iwe dukani au imeanikwa wakati mwingine mpaka tumbo lina anza kuuma sielewi tatizo hili linasababishwa na nn plz msaada wako
Tamaa sio nzuri
inategemea lakini, kuna tamaa zingine ni nzuri maana zinakufanya ufanye kazi zaidi.