Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Hii ni moja ya chupi za chuma zilizokuwa zinatumia na Vikings wakati huo kuwavesha wake zao ili wasiwe wanaingiliwa na wanaume wengine wakati wanapokuwa safarini. Walikuwa wanafunga halafu funguo wanaondoka nazo...Chupi hizi zilikuwa zinawekwa matundu maalum kwa haja ndogo na kubwa