Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
wapi tyta
Mambo yenu ya anasa hayo misiyawezi sivai chupi wala boxer
Anytime ukifanikisha let me know kaka (ASAP)!!!!!!brother,the d.code nimekiona ebay ni dola 5 tu! Pia last don,the sicilian,na godfather ni dola 9 vyote vi3.hivi so najpanga njiunge paypal ili niweze kuagiza.
Kwani wewe unatumia nini kati ya hizo mbili?
hahahahahaha we Evelyn wewe
Do i have to answer this????!!!
Chupi za nini bana, mi hazinisaidii chochote najiona nabanana tu.....
Chupi za nini bana, mi hazinisaidii chochote najiona nabanana tu.....
Nimemuuliza mtoa mada maana ameuliza kama ndio anataka aanze kutumia!!
Yes or No!!!!???
Siku hiyo itakuwa ni takko live.....ukipata ajali ya nguo kularuka hadharani sipati picha
brother,the d.code nimekiona ebay ni dola 5 tu! Pia last don,the sicilian,na godfather ni dola 9 vyote vi3.hivi so najpanga njiunge paypal ili niweze kuagiza.
Nguo yote yote inayoyabana maungo maungo hainifai, mimi ni mdau wa pensi.
Or!!!!!
Umenikumbusha mbali wakati nipo o level nlikuwa navaa pensi ndani ya sketi ya shule
siku moja nikakaa vibaya mbele ya kadamnasi pensi hiloooo watu walicheka
mi aibu kilo mbili
Kwani wewe unatumia nini kati ya hizo mbili?
sema kwanza uko chama gani ili nikupe msaada!!
Nimemuuliza mtoa mada maana ameuliza kama ndio anataka aanze kutumia!!