Chupi vipi noma!

Chupi vipi noma!

realleonia

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
366
Reaction score
139
Waungwana unaikumbuka ile Chupi aina ya Vipi nimeikuta leo nilipokuja kumuona bi mkubwa kanipa makashabrasha yangu yangu nimekumbuka chawa walikua rafiki zangu sana jamaa yangu mmoja amewahi kiukuta kifuaani baada ya pilika pilika.

Tupe mkasa wako wa vipi.
 
Waungwana unaikumbuka ile chupi aina ya vipi nimeikuta Leo nilipokuja kumuona bi mkubwa kanipa makashabrasha yangu yangu nimekumbuka chawa walikua rafiki zangu sana jamaa yangu mmoja amewahi kiukuta kifuaani baada ya pilika pilika.Tupe mkasa wako wa vipi.

Umenikumbusha mbali ilikuwa ikiitwa VIP,ukiwa nayo ulikuwa ujiko tosha,shida ni pale kile kiungo cha kati kikikatika ilikuwa inageuka blauz halafu wakati wa joto ilikuwa balaa kwani South africa ilikuwa inapata fukuto utadhani kumewekwa jikola mkaa.
 
mdau samani sikukumbuka kitu muhimu kama hicho Rubi nimeshaondoka.
 
Iyo chipi noms mkuu in short ilikuws ni gaguro haswa ikianza kulegea
 
Back
Top Bottom