CHUPI NA MIKANDA ya Elektroniki..LINDO la Mali zako

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Wadau, nimesikia Tetesi Kwenye Luninga moja inayotema Kireno mambo ya Obrigata Na nanihino eti jamaa wamevumbua chupi na mikanda ya elecroniki..chupi au mikanda hiyo ni ya kawaida ila Imejengewa mfumo wa electroniki (inbuilt with electronic system)

Wanasema mkanda huo una kama hizi malarila test tube, Mtu Na mpenzi wake wakisha nunua mikanda au chupi zao mbili, wanadondoshea tone moja la damu kwenye pea ya tube Za mikanda yao. Yaani mwanamke anadondoshea tone moja la damu yake kwenye tube ya mkanda Wa mumewe likewise to the man. Program hujengeka mara moja na kuumilikisha mkanda huo Vina Saba (DNA) zako Na parameta nyingine. Kisha unamvika mpenzi wako..

Mkanda huo laini havaliwa ndani kabisa contact na ngozi, lazima uvikwe au uvuliwe mkanda huo Na aliyekuvika.

Unafanyaje Kazi: mkanda huo ambao mfumo wake Wa Umeme huzalishwa Na jotoridi la mwili, huweza kuvaliwa hata mwaka mzima pasipo kuvuliwa, unaoga nao, unalala nao umatengenezwa Kwa body friendly material.. Sasa Kama unemvika mkeo/ mumeo/ haniwako/bebiwako halafu kijimtu kingine kikaja near, kama kumkumbatia Basi ule mkata una sence new System closer Na unapandisha jotoridi(heat), kwa kuwa ina flexible tungsten thread unachoma mwili hasa, sasa kama hani wako mjanja kampeleka fast service hasa during lunchtime huko maofisini huko, Na wakivuana nguo( isipokuwa mkanda) kwanza huyo mwizi Wa Mali zako ataushangaa Usalama huo, ila Kama uchu wake utakuwa zaidi akafanya contact ya mwili Kwa mwili and belt inatokea shoti Kali sana ya Umeme for both Of them Na haiwezekani kabisaa kijamiiana.. Kwa Sababu ule ukaribu unazaa joto kali liunguzalo Kwa aliyevaa mkanda sasa balaa zaidi wagusane..

Na Kama si zaidi ya mvalishaji Mtu Mwingine hawezi kuuvua mkanda.. Ukitumia nguvu kuukata kwanza utaharibika Na hautafaa tena(total demage) pili lazima zile streaps zikukwangua Na kudevelope kansa right from there. Ukitaka kuuondoa gharama zake ni bure Kama aliyekuvika labda Kafa ghafla, kasafiri ghafla, au tu mmegombana Na you no longer want'im to own you, lazima uende Kwenye kampuni lililowauzia Na watautoa Kwa vifaa vyao lakini Ndo hautatumika tena(total wear-off)..

Ila Yule aliyekuvika anaweza kubonyeza kitufe chake Na kukuvua Na kukuvika as many as you wish, Hata kila siku usiku anakuvua asubuhi mbavikana no problems as Kwa sababu the belt DNA hadi been activated as per subject of your body.

Wataalam wamebaini body fit hizi hazina madhara yoyote mwilini hasa yale yaliyohofiwa ya mionzi au mawimbi Kwa sababu umeme wake sio Wa betrii Kama Za cm(alkaline) bali zinatumia umeme wa mwili wako.. No current, no voltage, no waves, no magnetism very health and body fruendly, flexble excellent elasticity ..WELCOME
 

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Na wewe kanunue.

Niko hapa nagoogle lugha zote nazofaham nijue kampuni liko wapi Nisepe niwe Senior Agent nilete Mali hizi bongo.. Nauhakika Hata nikipiga 500% from Original Price wateja watajazana..

Hofu yangu ni Leseni, mijamaa yote Kwenye ukanda wa kutoa stahiki Za kibiashara ngono imeshakuwa chronic action kwao, wataona Kama nataka kiwaletea tafrani flan, waheshimiwa mjengoni wote pigwa kufuli habari Za kinadada Na viserengeti kutimkia Dom during debating sessions kweishaaa..!!

Masalutee nae akipigwa kufuli, hehee.. Safari
Za nje anakuoandaliwa vituuuuzzz kweishaaaaa!! Viongozi wa dini, serikali hasa wenyeviti Wa serikali Za mitaa wanaojiolea wajane everedei pigwa kufuli .. Kweishaa..!! Aisee Sipati Picha ..watabakia wala Kwa macho, ah inauma Mrisho kwenda kazini tu kosa umeingia kwake, Basi mkewe akupikie, ule vya Mrisho, umtandike mbunye, ukiulizwa eti naangalia mechi Mrisho ana King'amuzi bomba..
Weweeeeee..!! Pigwa Kufuli tu..
 

Kidatu

JF-Expert Member
Jun 11, 2008
1,508
210
Ngoja ufike bongo utachakachuliwa kama kawaida. Dawa ya zinaa ni kugandana tu.
 

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,090
762
Nimepata link .. Kesho Kazi mbona ntaimaliza.
 

jb87

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
242
384
Nadhani ingewekwa utaratibu mpya hizi belt ndio zitumike badala ya pete za ndoa
 

piper

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
3,253
611
Sasa hao waavaji huwa hawaendi call of nature? maana mpaka mke au mme akuvue, akiwa mbali unafanyaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom