Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
- Thread starter
-
- #101
Kwa sasa yuko peke yake mwanamke wa jirani amesafiri. Nalog offNyumba ina wapangaji wengi wakiwamo Wanawake, labda kama wanawake katika nyumba hiyo ni mkeo na huyo mdada ndio wanawake pekee. Kama kuna Wanawake wengine ndani ya hiyo nyumba ulijuwaje kama hiyo chupi ni huyo mdada?
Duh! Kama chadema? Nalog off...mzee wa kulog off,hiyo chupi ilikuwa ni mtego na wewe tayari umeisha nasa,kama ni vipi we twanga kote kote...
Kama unavyojipenda wewe. Nalog offimeandikwa mpende jirani yako.
Hapana Mkuu sijaomba mechi wala nini. Nalog offBaba huo mzigo kuna dalili kuwa umechapa na kama huja uchapa kulikuwa na kila dalili ya si muda mrefu unge uchapa. Lakini mwishoni nimekupata tena umesema dada huyo yupo cngo na hujazoea kulala peke yako. Muombe huyo dada akupe hifadhi ya muda hadi mama watoto atakapo rudi.
Inachekesha kidogo inaonekana haupo serious na mkeo. Je ingetokea hivyo kwa mkeo si ungesha mng'oa meno.
Sijakuelewa. Nalog off
Hapana sikufanya kusudi ila kuanguka kwa hii chu pi kumeniharibia sana. Nalog off
basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni. Nalog off
mmmh jamani hadithi hii imenikumbusha zile hadithi za bulicheka na lizabeti! au hekaya za abunuwasi! the Boss alisema kweli MMU huezi kuwa bored !
Na zile safari saba za Sigbard, na Alfu lela ulela.
Habari zenu wana JF,
Ni hivi mimi naishi nyumba ya kupanga na my wife wangu na kuna wapangaji wengine katika nyumba hiyo,sasa kuna binti single kahamia katika chumba kimoja katika hii nyumba,basi baada ya kuzoeana naye mke wangu anasema hamuamini ingawa nimemuhakikishia kuwa sijafanya naye mapenzi wala sifikirii,basi mke wangu akaanza kumletea vituko huyu binti mpaka wakagombana na hapa niandikapo ni kuwa hawaelewani.
Sasa tatizo leo hii yule binti kaingia maliwatoni na kuacha chu pi yake akining'inia nyuma ya mlango.
Basi mke wangu naye akaenda kuniwekea maji maliwatoni ili nikakoge,basi nilipoingia nikaiona ile chupi nyuma ya mlango na mie kuanza kujimwagia maji baridi.
Lakini nikiwa naendelea kukoga ile chupi ikaanguka kwenye yale maji ambayo ni machafu,basi nikaona ngoja niisuuze ili niirudishe tena nyuma ya mlango na nimtaarifu mwenye chu pi kwa kilichotokea,basi nikiwa naisuuza ile chu pi mke wangu akaingia maliwatoni na kunikuta nikiisuuza ile chupi ya mpangaji mwenzetu,basi likaanza bonge la zogo na kuniambia kuwa kumbe yule mpangaji mwenzangu nina uhusiano naye yaani mpaka chu pi namfulia!basi yeye kaamua kurudi kwao.
Yule mpangaji mwenzetu ikabidi nimuambie jinsi ilivyokuwa ili amuaminishe mke wangu kuwa hakunipa nimfulie ile chu pi yake,lakini yule binti mpangaji mwenzetu kagoma kuongea na mke wangu kwa madai kuwa mke wangu anaringa sana.
Jamani nimechanganyikiwa sijazoea kulala peke yangu.
Nalog off