Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,249
Hapana sikufanya kusudi ila kuanguka kwa hii chu pi kumeniharibia sana.
Nalog off
Dah! Haya itabidi niongee naye ili niweke jiwe la msingi. Nalog offmkuu fanya kweli kabisa ujue moja na kama lawama bas zije huku umefanya kwel kuliko kupatA lawama wakat mzgo ujala
Dah! Hakuna shaka Mkuu nitafanya hivyo.we nenda kaongee nae, mwambie ulikua una log off.
Mkuu ni G-string sasa ningemuambia ni yangu basi angejua watu washaanza kuni Cameron. Mie nimemuambia ukweli, ndio yamenikuta haya.mkuu hujawaza kabisa....mke wako alipokukuta na hiyo chupi ungemwambia ni chupi yangu.
Nina mpango huo.bora ujiite na log off.maana kila nikisoma maelezo yako,maneno yako ya mwisho ya ku log off,hunifanya nicheke tu
Usisikitike wala nini ndio ukweli wenyewe huo,ila kwa kuwa mie sio mpenzi wa dini nitaipeleka chu piikaombewe ktk nyumba ya ibada.nasikitika kukujulisha kuwa wewe na mkeo na huyo mpangaji mwenzako, woote ni mazuzu magic.
Let the chupi rest in peace, kaihifadhi sandukuni mwako, mkeo akirudi umwambie ulikuwa ukiiombea hiyo chupi ya huyo mpangaji mwenyewe ili pepo wa mitego amtoke, na kimashine cha kuburudisha MBOZI cha mdada huyi kizibe kabisa.
Kesho nitaenda kuangukia.Huyo mdada atakuwa nae anataka umsajili ktk himaya yako,au alikutegea kusudi chupi huyo.ndoa muhimu mbembeleze shemeji.
Bora uniazime hiyo KAPERO yako ili niifiche hii sura yangu iliyojaa huzuni.bujibuji,... umenifanya nicheke sana. japo jambo lenyewe ni la huzuni..
Nashukuru kwa ushauri wako chanya mkuu, nitabadilika haraka iwezekanavyo.Songíto;2783178 said:Mimi ninakubaliana na wewe asilimia mia moja kuwa hujatembea na huyo dada...hilo ninaamini toka moyoni, lakini kiuhalisia huko mnapoendelea mbeleni na hasa kama mkeo asingekuwa anapiga kelele ungetembea nae tu.
Mkuu ukiingia kwenye ndoa unaanza maisha mapya, inawezekana huko nyuma ulikuwa na njia zako za kuishi ila ukiwa katika ndoa kama hizi njia za maisha yako ya nyuma zinamkera mwenzio huna budi kuacha... ukiwa katika ndoa lazima ukubari kupoteza vitu flan na mambo flan flan ambayo ulikuwa unayapanda lakini mwenzio sasa anayaona ni kikwazo.
Mkeo amesahonyesha kuwa anawasiwasi na huyo dada, kinachokufanya uwe nae karibu ni nini? ni nini utakosa ukiwa nae mbali mkawa mnasalimiana tu? sasa kung'ang'ania kwako kuwa nae karibu ndio kutimiza hayo ya hapo juu, bado unang'ang'ania maisha ya zamani ambayo ni kikwazo kwa umpendaye? kwa maana nyingine upo tayari mkeo akereke huku wewe na huyo mdada mkiendeleza ukaribu mlionao...hapa hutendi haki kaka, na ndo maana nlitanguliza kusema hujatembea nae ila huko mbeleni inawezekana mkadoo...kama hamna hilo wazo kwako kwa nini kumng'ang'ania?
Acha hizo kama, angalia ndoa yako..makapi yasiyo na msingi ambayo yanaharibu umbo la ndoa lako yapepete.. achana na huyo dada, acha ukaribu nae.. muwe mnasalimiana tu then uone kama hilo zogo litaendelea...
"MWANAUME MPUMBAVU HUVUNJA NDOA KWA MIKONO YAKE MWENYEWE"
Sijakuelewa. Nalog offhili fumbo lako gumu sana nakupa mji...nenda Kigoma
Mie nipo mkuu,jasusi la kibongo JB. Nalog offNi kweli ume log off? Ukijibu nitajua...
Jamani msitungie hizo filamu zenu mtaniumiza sana nikiiona. Nalog offbonge la story kama movie vile!nice. NALOG OFF
My wife namfulia samtaimu,ila mtaka yote hukosa yote. Nalog offsasa fanya kweli kabisa maana hapo utakosa vyote...wife na huyo mpangaji mpya. pole lkn wa kufua chupi ya asiye kuhusu. wife wako huwa unamfuluia lkn?
Ni mawazo yako,una uhuru wa kufikiria hivyo,mlango haufungi,ukiingia unausindika na pia ni njia ya ya kwenda kwenye sink la kuoshea vyombo. Nalog offhiyo imekaa kikomedi hivi hyo bafu haikuwa na mlango mpaka mkeo anakuja direct then ww hata hukuhc kama mtu anakuja maana chupi ya kike mtu akiona umeishika unakuelewa vingine
1.Kwa sasa yuko peke yake,mpangaji mwenzangu mwengine my wife wake kasafiri. 2.mlango upo wa mbao ila haufungi ukitaka kujisaidia unausindika tu.3.yuko peke yake kwa sasa. Nalog offKuna maswali kadhaa yanahitaji ufafanuzi:
1.Ulijuaje ile chupi ni ya nani kama nyumba ni ya kupanga na lazima kuna wanawake kadhaa ?
2. Mkeo aliingiaje toilet kwani hamna mlango ? au ni zile za kuning'inia gunia ?
3.Mkeo aliwezaje kuihusisha chupi ile na yule mpangaji haraka hivyo ikiwa mkononi kwako imeloa/kunjika ?
Ilianguka ktk yale maji yaliyokuwa yakitiririka baada ya kujimwagia mwilini mwangu,kwahiyo nikaona ni vyema nikiisuuza na kuirudisha pale ilipokuwa. Nalog offnawe kweli WASHAWASHA mana una kisebu sebu hiyo chupi uliishika ya nini??????????
Sawa Mkuu. Nalog offUkilog off uondoke kabisa! Hako ka-nalog off kako kananikera kila nkisoma post zako! Aaagh! Nalog off! Lol!
Nampenda sana my wife wangu jamani,msiniombee hayo. Nalog offMi namshauri huyo mkeo asirudi kuishi tena na wewe maana 100% unaonekana sio mwaminifu ulishaonywa mara kibao ila still unajidai kuonyesha upendo kwa mwanamke baki wakati kwa mkeo hujawahi kuuonyesha.. kwa hali hii Wanaume tutaendelea kushika namba 1 ya kucheat. Na Login
Umeona eh! Nalog offjf is never boring...lol