Chupi imeleta kizaazaa

Ongea tu na your wife wako atakuelewa .... [emoji12] [emoji12]
 
Huu uzi unajua ni wa zamani sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpk leo bado mnashauri
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kudadeq najuta kwanini nimetoa ushauri nilikua sijaangalia muda asee ni kitambo ile mbaya
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kudadeq najuta kwanini nimetoa ushauri nilikua sijaangalia muda asee ni kitambo ile mbaya
Ata me nilkuwa nachangia nyuzi za zaman sanaa kipindi bado sizingatii kuangalia ni muda gan uzi umetoka.

Nikiona mada nayoipenda tu japo now nimekuw makini sanaa ktk kuchek muda.
 
Ata me nilkuwa nachangia nyuzi za zaman sanaa kipindi bado sizingatii kuangalia ni muda gan uzi umetoka.

Nikiona mada nayoipenda tu japo now nimekuw makini sanaa ktk kuchek muda.
Umenifunza kitu mkuu
 
Kuku wewe, unawezaje kufanya jambo kama hilo hadharani ukijua mkeo yuko jirani!
 
Nimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?

Hata mimi nakaa na shemeji zangu.....huwa wanaanika kufuli zao nje....zikianguka huwa nazianua kwa machale sana...
 
Tatzo lipo kwako kabsaaa
 
Kuku wewe, unawezaje kufanya jambo kama hilo hadharani ukijua mkeo yuko jirani!
Lazima niisuuze kwa kuwa ilidondoka kwa bahati mbaya
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…