Chupi imeleta kizaazaa

Mkuu,kama ni mimi,naichukua hiyo chupi naipiga pasi kabisa halafu naiweka kabatini kwetu,na huyo mke aende zake,akitaka kurudi arudi tu na hiyo chupi ataikuta ndani.
Sasa hivi kamfanya mpaka yule mpangaji kawa Mke mwenza wake.
Nalog off
 
Mimi Ni romantic sana muulize Mke wangu.
Nalog off
 
Bafu lenu halina mlango? Choo na bafu ni humohumo? Ulimuonyesha mkeo kuwa unafua? Ulikuwa unaifanyia nini hiyo chupi hata uamue kuifua? Unashikaje chupi ya mwanamke na kuifua? Unamtaka mwanamke akusaidie kuzungumza na mkeo ili amhakikishie mkeo kuwa hakuna mahusiano baina yenu? Kwanini mkeo amhisi huyo single lady? Kwanini uanzishe mazoea na huyo demu? Leta ya muhimu acha hadithi.
 
Hapo kazi unayo,,,,,, ww ulijuaje kuwa hiyo chupi Ni ya huyo Dada?????? Tueleze story nzima maana inaonekana mnajuana na Huyo bidada
 
Mimi Ni romantic sana muulize Mke wangu.
Nalog off
Hatuwez kumuuliza sifa zako mtu aliyerudi kwao kwa kuhisi unamchepukia, alafu uungwana ni vitendo hivi iyo chupi ingekua ya binti yako iko bafuni ungechukua hatua gani za haraka kwa mfano?
 
Ameshakuwa nyumba ndogo sasa na wanaelewana kimtindo.
Nalog off
Hapa,pana ukweli, uliokuwa unafichwa, inaonyesha, hii ni nyumba ndogo ya siku nyingi, ndio ilizaa kile, kilichobatizwa jina jingine -et 'USTAARABU' Ona sasa, mambo hadharani. Nilishauri tu, hii isingeingia humu, linaweza kuwa la aibu, kama mtu atasoma Kati ya neno na neno. NISAMEHE SANA MKUU, MIMI NIMESHATOKA HAPO.
 
Kweli ukishangaa ya Musa utastabu ya filauni
 
Uswahilini kuna vituko!!!!!!! Sasa nyumba ya kupanga na kushirikiana bafu unawezaje kuanika chupi bafuni? Mkeo hajiamini na wewe pia una shida kubwa, unawezaje kushika na kuifua chupi ya mwanamke asie mke wako? si heri ungeiacha pale chini ila kwa uungwana ungeenda kumwambia mwenyewe kilichotokea na kuomba radhi, kama ange kasirika ni bora ungempa pesa ya kununua nyingine. Siku nyingine unaweza kupata magonjwa ya zinaa bila kuchepuka kwa sababu ya uzembe kama huo wa kushika kitu inayogusa majimaji ya ukeni kwa mwanamke asie mkeo sijui mtatuhumiana nani kachepuka kaleta ugonjwa????
 
Au mkuu uliifua chupi ya jirani wa kike makusudi ulishapigia punyeto? Inaonekana mkuu una mbabaikia sana sana jirani hadi mkeo anajisikia vibaya. How did you know the underwear (bikini, thong, e.t.c) was your neighbours? Stop stalking your neighbour.
 
Ujue thread zingine bhana haya mzee naona umeshika kufuli la jirani tena cngo doo
 
Love Story ....hahahaha....kama kaondoka mkeo mchukue mwenye chu p, uishi nae, asiporudi mkeo ujue hakupendi..endelea na msahau chu p, bafuni..
Mke wangu karudi na mpangaji aliyesahau chupii akawa nyumba ndogo.
Nalog off
 
Ndio choo na bafu humohumo,pia sikuifua ila niliisuuza baada ya kuidondosha. Mie yamenikuta Sasa kama unaona Ni hadithi Ni mawazo yako na una haki ya kufanya hivyo.
La muhimu serikali inaamia Dodoma.
Nalog off
 
Ahsante sana ikitokea Mara nyengine nitafuata huu ushauri wako.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…