Chupi imeleta kizaazaa

pole sana mkubwa
Kwanza tatizo ni kwamba wewe ulikos umakini. km tayari ulijua kuwa mkeo nafuatilia nyendo zako na huyo binti kwani uiokote na kuisuuza? lakini ulijuaje kua hiyo chupi ni yake?
 
Uliweka kwenye nanihiii yako nini kwa bahati mbaya wakati unavuta hisia ikadondoka? ulitaka kupiga puli wewe tumeshakushitukia!!!
 
Km mkeo kaondoka na kwenda kwao basi mpe muda kwanza hasira ziishe na zikimalizika atakutafuta mwenyewe ila iwe kweli kua huyo binti hujamfunua utupu wake. na uwe makini maana mie naona harufu ya wewe kujipunguzia machungu kwa huyo binti nahisi dalili hizo uwe makini sana maana nyie watu wenye wake huwa mnasema kua wavivu kupika, kufua nk, angalia usimwite huyo binti kukupikia na kukufulia ukifanya hivyo siku anakuja kupika ndo utakuta amejilaza kitandani na kanga moko huku mapaja yakiwa nje.
Nakutakia heri mkeo arudi ila akukute salama bro.
 
pole sana mkubwa<BR>Kwanza tatizo ni kwamba wewe ulikos umakini. km tayari ulijua kuwa mkeo nafuatilia nyendo zako na huyo binti kwani uiokote na kuisuuza? lakini ulijuaje kua hiyo chupi ni yake?
 
Ebanaeee!Kwanza pole,ninachokuambia ni kuwa ni vigumu sana yani sana kuishi pamoja kama hamuaminiani!
 
pole sana mkubwa
Kwanza tatizo ni kwamba wewe ulikos umakini. km tayari ulijua kuwa mkeo nafuatilia nyendo zako na huyo binti kwani uiokote na kuisuuza? lakini ulijuaje kua hiyo chupi ni yake?
nilijua kama ni yake kwasababu kwa sasa yuko peke yake,na baada ya lile songombingo nilikwenda kumuuliza.Nalog off
 
Ebanaeee!Kwanza pole,ninachokuambia ni kuwa ni vigumu sana yani sana kuishi pamoja kama hamuaminiani!
nashukuru mkuu nimeshapoa,ndio najitahidi kumuelewesha ili aniamini.Nalog off
 
najitahidi kuwa mbali naye.Nalog off
 
Kama hukuwahi kufua chu pi ya mkeo iweje ufue ya huyu mpangaji!???

Unalo hilo! tatizo ni kuoa wakati bado mkiwa na mawazo ya kitoto!
 

Wewe ulijuaje kama ile chupi ni ya mpangaji mwenzenu kabla ya kumuuliza? Na muda wote haijaanguka mpaka wewe ulipokuwa unaoga? Mkeo hakuiona ila wewe tu ndio uliiona! Halafu kusuuza nguo (rinsing), maanake umefua.

Jifunze kutoa taarifa mapema juu ya anything suspicious.
 
Ni kwamba chupi za huyo mpangaji mwenzie zote anazijua na anajua gharama yake ndo maana kaifua ili asiingie gharama kununua nyingine ... F.A.LA sana huyu
 
hahahaha kazi kweli kweli...kjirani yako hana kosa uwe mkarimu kwake na yeye kutokubali kuongeana mkeo ni sawa maana tayari wanakwaruzaa na wanawake unajua walivo....ila dalili zimekaa poa kumngoa huyo binti ila usijaribu kabisa
 
ustaarabu wa kushika chupi ya mtu mwingne! duuh hii kali..ila we muache tu mkeo akae kwao,akichoka atarudi! mwanamke asiyeelewa utapoteza muda kubembeleza!...pole lkn!
 
We mwehu kweli utashikaje chupi ambayo umeikuta bafuni na ulijuaje Kama Ni ya huyo binti?
 
Nimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?
Kabla yakumuanulia log off kwanza
 
Mkuu umekuwa kimya muda mrefu. Naona kimya kirefu kina mshindo mkubwa.

Hiyo inaitwa "coincidence" .
 
Inamaana unaogaga mlango wazi??maana ungekua umefunga mlango angegonga na ungeitundika chupi ndo ufungue..ingekua bafu la ndani ningeelewa..

nimewaza Tu kwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…