Chupi(g string)/kifuniko cha achali

Mwekezaji mwenye kiwanda cha kuuza vifuniko vya asali Kaboom uje utupe uzoefu.

Raha ya hii uwauzie wateja wa oposite gender. Many yrs back Kuna mteja alinunua akawa ana wasiwasi kama zitamfiti. Nikamwambia chukua namba zangu zisipo fit tutajua cha kufanya. Alipofika bada ya kujaribu akatoa mrejesho. Nikamwambia anitumie picha nione jinsi zilivyo mkaa vema. Stori ikaanzia hapo.
Miaka mingi ya nyuma?
Kama mingapi? Halafu Leo sitaki ugomvi.
 
Fanya mambo mengine ya msingi basi....hata unachoandika huna uhakika nacho
weee! joanh hujasema ukweli au una tatizo la testasterons damuni. Muone dr Manyonyi temeke hospital hrk. Hili lako ni km la semenya wa south. Polee sana mhudumu wa kike anapenda wakaka wababa pia kitaalam kuna usumaku kati ya homoni za kike na homoni za kiume
Dume huwezi penda dume.una tatizo la homoni vilevile jike hata kuku.ngombe hamfugi?
 
Jibu lake sasa hapa
 
Ila mleta mada mie ukitaja vichupi chupi huku chini kunapwitapwita. ungebadili hata jina la ku presentia hii mada yako bana, muwe mnapima hali ya joto kwanza, ungenena kama neno kufuri, au kibanio nk, yaani naweza kupenda kwa kunionyesha hiii chupiii chupiii. ahahahahah!
ni kama nauona utamu huoooooo!
 
Wateja wanawake wa wodi ya wazazi wanapenda kuhudumiwa na madaktari wanaume au wauguzi wanume sana sana muulize mkeo au dada yako usikie alipokuwa labour hali ilkuwaje'

Mwanaume Daktari akijipitisha Labour ward analo, utasikia vilio vya kina mama, dokita! dokita! dokita!
wakati mkunga nurse yupo pale muda mrefuuu!
halafu wanaongea mambo mazito kuhusu matatizo yao kwa wanaume zaidi kuliko madaktari wanawake wenzao.
 
Nimeona kuficha ficha hapana ningeandika kufuri watu wangeuliza ndio nini !
 
Wateja wanawake wa wodi ya wazazi wanapenda kuhudumiwa na madaktari wanaume au wauguzi wanume sana sana muulize mkeo au dada yako usikie alipokuwa labour hali ilkuwaje'

Mwanaume Daktari akijipitisha Labour ward analo, utasikia vilio vya kina mama, dokita! dokita! dokita!
wakati mkunga nurse yupo pale muda mrefuuu!
halafu wanaongea mambo mazito kuhusu matatizo yao kwa wanaume zaidi kuliko madaktari wanawake wenzao.

Vipi daktari mwanamke akipita kwenye ward ya wanaume unaskia DOCTOR DOCTOR😁😁📢
 
Mwekezaji mwenye kiwanda cha kuuza vifuniko vya asali Kaboom uje utupe uzoefu.
Nikiwa mwenyewe shop biashara inaenda poa..Nikimuachia wife wateja wanapungua..

Raha ya hii uwauzie wateja wa oposite gender. Many yrs back Kuna mteja alinunua akawa ana wasiwasi kama zitamfiti. Nikamwambia chukua namba zangu zisipo fit tutajua cha kufanya. Alipofika bada ya kujaribu akatoa mrejesho. Nikamwambia anitumie picha nione jinsi zilivyo mkaa vema. Stori ikaanzia hapo.
Hapo kwenye bold umetupiga kamba..Ukute ni last week imetokea hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom